Sio kweli nyinyi wafuasi wa Magufuri mlikuwa mnasifu kila kilicho kuwa kinafanywa na Magufuri kiufupi hamkuwa tofauti na machawa wa samia kwa sasa na mbaya zaidi mtu alikuwa akijaribu kukosoa mlikuwa mnamshambulia kwa matusi na kejeli.Wewe shida yako unataka tusifu yanayoendelea?
Kwa JPM tulipinga palipostahili kupingwa na tulisifu palipokuwa panastahili kusifiwa...
Mwanzo walikuwa wanasema hakuna aliyeuwawa leo wanasema waliua kidogo, kuna siku watasema ukweli.Muhimu sana sasa hivi mnakubali mliua ila tu mnatafuta sababu ya kujisafisha.
Kwa taarifa yako hiyo dhambi haisameheki, hii mnajua kabisa. Kuna watu walitumwa wawaambie mkawabeza, mkaanzisha msemo wa Nywi x3, mkatamba sana kwa majivuno, ati Mimi ndiyo amiri jeshi mkuu.
Siku hiyo mtaitwa mtaongeshwa na YeYe —- Angalia mlivyotamba mkasema Nywi Nywi Nywi, hata Mzee Warioba mwenye busura kuliko nyie alivyowaambia msikilize na kutoa haki, mkambeza….
Mlikuwa na muda mwingi wa kutekeleza haki lakini hamkutaka mkaendelea na majivuno.
Usiche na Mungu na usicheje na hayo maandishi.
I warn you, don’t abuse God, by quoting what you quoted from holy scriptures!
Jitahadhali sana
Hisoria yangu JF sikuwahi kuwa chawa wa kiongozi yeyote, kumradhi mkuu, kwenye maendeleo tulisifu, kwenye ukandamizaji wa demokrasia tulipinga...Sio kweli nyinyi wafuasi wa Magufuri mlikuwa mnasifu kila kilicho kuwa kinafanywa na Magufuri kiufupi hamkuwa tofauti na machawa wa samia kwa sasa na mbaya zaidi mtu alikuwa akijaribu kukosoa mlikuwa mnamshambulia kwa matusi na kejeli.
Kwani ni uongo kuwa Magufuli ndo kiongozi pekee aliye funga mikutano ya vyama vya siasa zaidi ya miaka 5 huku ccm ikiendelea kufanya kama kawaida?.Mpuuzi wewe
Huu upuuzi wenu wa utekaji ulianzishwa na evil CCM na JKT. Victim wa kwanza alikua Ulimboka akaja Absolum Kibanda.
CCM pamoja na nyie wote lazima muwe reponsible siku hiyo
Je nilicho kisema ni uongo?Punguza kuwa
Punguza kuwa ZEZETA walau kidogo
Gentleman,hahahhhahahaha! Sasa kati ya mimi na wewe nani anambwelambwela? We hata kwenye threads za kesi ya lisu huwa unambwelambwela kisa umelipwa buku 7 sasa ili ipande inabidi uonekane unafanya kazi ya uchawa kwa bidii!! Hahahahahhhaha! Ni shida tu mwanawane!
Wapo chawa wa magufuri humu na wanajulika akiwemo huyo niliye mjibu yaani wao kila kilicho kuwa kinafanywa na magufuri kwao kilikuwa sahihi alafu leo hii wanajifanya kuchukia mambo ambayo walikuwa wanayashangilia kipindi cha Magufuri.Tulimpinga Magufuli tangu mwanzo, umesahau tulikuwa tunamuita dikteta uchwara.
cha ajabu ni kwamba,Samia mwenyewe si alisema ana chawa wake, sasa cha ajabu kipi nikisema we ni chawa?
wenzakondo akina nani hao ulowataja?
Ni kweli alifanya hayo..Kwani ni uongo kuwa Magufuli ndo kiongozi pekee aliye funga mikutano ya vyama vya siasa zaidi ya miaka 5 huku ccm ikiendelea kufanya kama kawaida?.
Sio kweli kuwa ndo aliye funga bunge kuoneshwa live?
Kwani uongo kuwa kipindi chake ndo waandishi wa habari walipitia kipindi kigumu mpaka wakalazimika kuwa walamba miguu ya serikali?
Kwani uongo hakuhonga wapinzani ili wahamie ccm?
Ya kwamba sio kweli kuwa ndo aliye anzisha utaratibu wa kupita bila kupingwa na kuhakikisha bunge lote linakuwa ccm?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hateki na kuuwa wapinzani ?
Kwani sio kweli kuwa alikuwa hapeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani tena kwa kutamka kwa kinywa chake?
Hivi kwa aina ya hizi siasa unategea nini zaidi ya kupandikiziana chuki na visasi?
Jentoman hakuna haja ya kupanic unachotakiwa ni kuleta picha akiwa na maraisi wenzake. Au wakati wanapiga Picha yeye alikuwa na deputy wa ICC?Gentleman,
peleka porojo na uzushi wako nonsense kwa reporter wenu useless Lary Madow mkalenjini wa Eldoret pale Kenya, ndie pekee anaweza kufurahia porojo zako za kimamluki
Yule ni mjinga tu, yaani watu wamekufa yeye anapiga vigelegeleHivi lile mama lishirikina kutoka Uganda ambaye ndio aliongoza Team ya waangalizi wa EAC sasa hivi anajisikiaje baada ya kupiga vigeregere siku Samia anatangwa ushindi wa maigizo wa 97%?
Porojo za Chadomo hizoHakuonekana akijichanganya na wenzake, inasemekana wengi walikuwa wanakwepa hata kupiga naye picha.
Mwenye picha zaidi ya hizo atuwekee hapa, nitamshukuru.
View attachment 3545560View attachment 3545559View attachment 3545561View attachment 3545562
Mimi ni mpigania haki...cha ajabu ni kwamba,
mtu makini kama wewe eti wamekupima kisaikolojia na wakaona wakuingize kwenye kundi la mamaluku malofa zaidi wa huyo muhaini kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,
hili limewashangaza wadau wengi sana wa JF wanaokufahamu