Je, ni Kweli Tayari Imeshapangwa Portugal achukue World Cup 2026?

Kila kitu kinapangwa na watu kama tunavyokubaliana Mungu ndio muumba na anaendesha maisha yetu ya kila siku basi na sisi binadamu wapo binadamu wenye uwezo wanaotupangia mambo yetu.
NB Tarehe 7 usiandamane.
Sasa najiuliza kwa nini watupangie.

Kuhusu tarehe 7 wamesikia😂
 
Wakitaka timu fulani fulani zikutane fainali huwa wanapanga tu kwa mpangilio wa hizo timu kutokutana, lakini sio matokeo ya uwanjani. Mfano kama wanataka Ronaldo na Messi wakutane fainal basi Argintina na portugal watawekwa kwenye makundi ambayo haitawezekana kukutana hapo katikati. Sometimes inaweza ikashindakana. Mfano fainali ya world cup mwaka 98. Wakubwa walitaka brazi akutane na france kwa sababu ya mvuto wa zinadane na ronaldo kwa kipindi kile. Kwahiyo wakakwepeshwa wasikutane wao kwa wao na bahati nzuri wakakutana fainal. Brazil alikula chuma 3
 
Kuna comment niliweka kwenye post mahali kuwa Portugal atafika mbali na Argentina ataishia njiani.

Ngoja tuone.
 
Kwa namna soka la kisasa lilivyo hilo sio jambo la kushangaza kabisa siku hizi mechi za mpira wa miguu zimekosa uhalisia kutokana na kamari na kibiashara zaidi hata baadhi ya mechi kubwa na matukio makubwa ya kisoka yako scripted rejelea mechi ya yanga vs mamelod sundowns na ile fainali ya Chelsea vs psg club world cup kwa sasa kamari inaharibu mechi nyingi sio halisi tena
 
Kuna comment niliweka kwenye post mahali kuwa Portugal atafika mbali na Argentina ataishia njiani.

Ngoja tuone.
Wewe umeangalia performance za timu au kutokana na huu utabiri?
 
Sasa hapa tutofautishe na ile situation ya Yanga maana ile ilitokea ghafla pale pale lakini hii ya kupanga kabla inafikirisha.
 
It is coming home this time
 
Kwa hiyo team yenyewe waliopanga wana kazi kubwa kufanikisha hilo labda wazishirikishe na timu zingine zijue ili ziachie!!😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…