Je, ni kweli Ugali wa Dona ni bora kuliko wa Sembe?

Vipi kuhusu wali, nao unachangia kuzalishwa haraka kwa wanga mwilini?
 
Kwaiyo sembe ni bora kama unakula na kufanya mazoezi na kutumia ile grucos yote?

Ndio kwa upande wa kupunguz sukari....
Lkn dona ina fibres zinazosaidia kupunguza choo kikavu/ pia constipation.

Vilevile virutubisho vidogo kama protini vipo kwenye dona
 
We janaa unatumia ujuzi wako kuwadanganya watu panya mwenyewe ana akili sana maana hayo mahindi yeye hula kiini pekee na kuacha hayo masalia mengine.
Ila we kazana na sembe tuu siye tuachie dona
Hoja yako bado haina mashiko mkuu, maana mleta uzi amejaribu kuchambua tena kwa kina na hajatoa mapendekezo watu wale nini ila alichosema kuwa ni vema kula dona ya mahindi yaliyotoka moja kwa moja kutoka shambani ambayo hayajahifadhiwa kwa muda mrefu na kupuliziwa madawa.

Sasa hapo uongo wake upo wapi? Kwa maoni yangu amechambua vema, mimi naona sembe ni bora kwa sababu ni unga safi na pia ukichanganya na mboga mboga mchanganyiko basi unakamilisha mlo kamili.
 

Absolutely
 
utafiti huu wa kisayansi labda ni wa darasa la 5. haiwezekani useme
utafiti huu wa kisayansi labda ni wa darasa la 5. haiwezekani useme maganda ya mahindi ni pumba kama vile maganda hayo hayana kazi, ukiacha virutubisho vilivyomo, ni roughage, husaidia kupata choo na kuondoa tatizo la constipation. Hizo unazoita pumba ndiyo zinanenepesha mifugo, kutagisha kuku, kuongeza maziwa kwa ng'ombe n.k. Huwezi linganisha uchafu sembe na special diet dona.
 

Kaka shida ni kupata choo basi kula papai, point yake ni kuwa, mahindi yanakaa gharani miaka 2, yanapigwa na dawa za kuzuia wadudu, Then unaenda kuyasaga tu, madhara yake ni makubwa kuliko faida,
 
Kaka shida ni kupata choo basi kula papai, point yake ni kuwa, mahindi yanakaa gharani miaka 2, yanapigwa na dawa za kuzuia wadudu, Then unaenda kuyasaga tu, madhara yake ni makubwa kuliko faida,
Kabla ya kusaga unaweza kusafisha, kisha kuanika, yakikauka unasaga, kama vile wafanyavyo wamama wanaopika vitumbua. Ktk pointi yangu nimeainisha faida za dona, ila ww umeona kupata choo tu! Niseme hujasoma ama ni shida ya wengi ku.underrate vitu, kama huyu mtoa post.
 
Miye toka nizaliwe now nina zaidi ya miaka 30 ninakula sembe nikila dona tumbo linasumbua nadhani nikutokana na hizo pumba unazozitetea sijui unanishaurije
 

Sasa kwa maelezo hayo ni kwamba ww ni mkulima, sasa je unapoenda restaurant ukasema wakupe ugali wa dona unajua hayo mahindi yalikaa muda gani gharani? Hiyo ndio point ya msingi
 
Ni hivii kilo moja ya sembe ina wanga tu wote na wanga ndo chanzo cha glocose na kilo moja ya dona ina wanga pamoja ni vitu vingine kama protein ganda la nje la hindi, Hapo sijui nimeeleweka?
 
Ni hivii kilo moja ya sembe ina wanga tu wote na wanga ndo chanzo cha glocose na kilo moja ya dona ina wanga pamoja ni vitu vingine kama protein ganda la nje la hindi, Hapo sijui nimeeleweka?

Which means ni kila sembe na samaki na mchicha mambo ni mswano
 
Kwa sababu Sembe ina meng'enywa kwa urahisi a upesi zaidi kuliko Dona
 
Wanaume wa Dar na Madaktari wenu wa Dar endeleeni kula sembe. Mjue kuwa kwenye dona kuna zaidi ya glucose. Kuna madini ya zinc kwa wingi, kuna fibres kwa wingi, kuna aina ya protein ambayo haipo kwenye source zingine. Ila ninyi endeleeni tu, hatubishani. Nimeona kuna mpendwa hapo awali kawapa darasa la nutrition, wengine mnajifanya wajuaji, endeleeni tu, kula sembe zenu, mnazidiwa akili na panya, aaaaaaahhh!!! kwi kwi!!!! sio ajabu mpo kwenye kundi la wanunua dagaa na samaki za kopo in the name of modernization. wakati kuna samaki wa ziwani wapo. Endeleeni tu kula, it is your choice
 

Kabisa panya anatuzidi yy anakula mpaka mifupa ya chakula kilichotupwa, anakula nguo na godoro
 
Dona lina sumu kuvu na hilo limethibitishwa na jopo la wataalamu. Tatizo mnaendekeza ubishi kama wanzuki
Nadhani hilo andiko la sumu ya kuvu hukulielewa vizuri. Nenda kalisome tena kwa jicho la kitaaluma. sio kilaymen. Kama ungekuwa sahihi, basi mimi ningekuwa marehemu sasa, Maana dozi yangu ya ugali ni aina ya dona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…