matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Hujujajibu hoja Dada.Ninachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea [emoji23]
Blackberry
Hujujajibu hoja Dada.
Ni culture au zinaa ya kawaida?
Kweli kabisa usemalo kuhusu kubambikiana watoto, kabila yoyote duniani hufanyika usaliti wa ndoa.Ninachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea [emoji23]
Blackberry
Duh..!Katika watoto watano unaweza kukuta wote siyo wako ni wa Kitutsi tupu. Wakati huo anakupiga changa la macho kuwa ana damu kali ndiyo maana watoto wanafanana na yeye.
Hii ni culture yao
Mbona mie yule mke wa Afande hapa jirani huwa namtafuna (naye ni mtusi)Nonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.
Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.
bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.
Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.
Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
NimeelewaKwa watutsi wenye kuendekeza ukabila hii ipo kabisa kwanza haiwezi kuzaa na wewe ngegera hata kidogo,kuna kesi maarufu huko karagwe mtu alienda kudai watoto zaidi ya 6 akaambiwa ukweli kuwa watoto wote wana baba yao mtusi
Duh..!
Ngoja nimpigie dogo simu fasta aahirishe harusi aliyopanga kufanya next week!
Alipanga kuoa mtusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!! Umenikumbusha mbali sana. Mimi nilikatazwa na mama yangu mzazi. Nakumbuka siku hiyo niko na mchumba mwenyewe (nakiri wazi, kati ya wanawake ambao walikufa na kuoza kwangu huyu ni mmoja wapo) nikampigia mama simu na kumpa maelezo kisha wakasalimiana. Mchumba mwenrwe akafurahi sana, aliponirudishia simu mama akaanza kuniambia kwa kilugha jinsi walivyo (sikuwa nalijua hili na nilielezea nikijua ndio kujimwambafy kwa mama kumbe ndio naharibu) aliniambia afadhali uoe hata mwanamke mwenye sura kama wasira, kuliko mrembo wa kinyarwanda (hakujua kabila. Nilimwambia huyu ni mnyarwanda). Sitasahau jinsi mdada wa watu alilia tulipoachana na hata hakujua shida ni nini maana ilibidi nianze vitimbwi mpaka akahama kabisa na hadi leo sijui wapi alipo. Tulikutana mara moja alipokuja kwenye mahafali ya mdogo wake. Tulikutana kwenye gari, alinisema sana, alilaumu hakuna mfano japo tayari ilikuwa imepita miaka mitatu tangia tuachane. Gari nzima walikuwa wakitusikiliza hadi nikaona aibu. Hakuniambia anaishi wapi ila alinionesha picha ya mumewe mtarajiwa😡😡😡Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.
Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.
bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.
Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.
Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
Asante kwa shuhudaDah!! Umenikumbusha mbali sana. Mimi nilikatazwa na mama yangu mzazi. Nakumbuka siku hiyo niko na mchumba mwenyewe (nakiri wazi, kati ya wanawake ambao walikufa na kuoza kwangu huyu ni mmoja wapo) nikampigia mama simu na kumpa maelezo kisha wakasalimiana. Mchumba mwenrwe akafurahi sana, aliponirudishia simu mama akaanza kuniambia kwa kilugha jinsi walivyo (sikuwa nalijua hili na nilielezea nikijua ndio kujimwambafy kwa mama kumbe ndio naharibu) aliniambia afadhali uoe hata mwanamke mwenye sura kama wasira, kuliko mrembo wa kinyarwanda (hakujua kabila. Nilimwambia huyu ni mnyarwanda). Sitasahau jinsi mdada wa watu alilia tulipoachana na hata hakujua shida ni nini maana ilibidi nianze vitimbwi mpaka akahama kabisa na hadi leo sijui wapi alipo. Tulikutana mara moja alipokuja kwenye mahafali ya mdogo wake. Tulikutana kwenye gari, alinisema sana, alilaumu hakuna mfano japo tayari ilikuwa imepita miaka mitatu tangia tuachane. Gari nzima walikuwa wakitusikiliza hadi nikaona aibu. Hakuniambia anaishi wapi ila alinionesha picha ya mumewe mtarajiwa😡😡😡
Probably na wewe ni Mtusi. Nyie watu hamfai kuolewa na kabila za nchi nyingine. Mtusi lazima akuchanganyie watotoNonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uongo na upumbavu wa kutupwa.!!!!!Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.
Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.
bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.
Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.
Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
Okay. AsanteHuu ni uongo na upumbavu wa kutupwa.!!!!!
Hakuna upumbavu kama huo
Blackberry