Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #61
Hapana, huwezi kulinganisha ila bado hujajibu swali langu la kwenye nyuzi.Je utamu wa embe unalingana na ule wa chungwa? Je utamu wa magimbi unalingana na utamu wa viazi? Je utamu wa mchicha unalingana na utamu wa kisamvu?
Kwahiyo wewe utachepuka mpaka uwamalize wote, au point yako ni nini?Mwanamke mwembamba na mnene Wana ladha tofauti
Mwanamke mweupe na mweusi Wana ladha tofauti
Mwanamke mrefu na mfupi Wana ladha tofauti
Mwanamke mwenye umri mkubwa ana ladha tofauti na mwenye umri mdogo
Mwanamke wa kienyeji na wa kisasa Wana ladha tofauti
Mwanamke mwenye kipochi kilichochanua ana ladha tofauti na ambae ana kipochi kisichochanua
Mwanamke mwenye matikiti kuondoka ana ladha tofauti na madogo
Mwanamke mwenye vitufunyungu ana ladha tofauti na mwenye matufunyungu
Ok vinyama kuwa na ladha tofauti sikuielewaHapana, huwezi kulinganisha ila bado hujajibu swali langu la kwenye nyuzi.
KabisaSiku mkijua binadamu nayeye ni mnyama mtaacha kuuliza haya maswali!, binadamu kinachomchanganya na kumzuzua ni anapambana na asili mbili yani kuna muda anafuata tamaa za mwili na kuna muda anafuata utashi wa akili!.
Akili mambo yake ni kufuata sheria na tamaa hufuata hisia!, kinachoshinda ndio huwa kinachukua nafasi kwa muda huo. na ndio maana baadhi ya matendo mtu huyafanya halafu baadae akija kuulizwa hana majibu maana unauliza kitu kilichotumia tamaa kujibu jibu la mantiki!.
So yote kwa yote mi nionavyo kuna vitu hatujavifahamu bado na ndio maana ni ngumu kuwa perfect kwa asilimia mia moja, hiyo ni kwa utashi wetu ila kwa kilichoifanya asili yetu chenyewe ndo kinaona tupo sahihi!.
Tufanye tunayoyaweza kwa usalama hilo ndo lakuzingatia zaidi.
Kichwani? Naomba utupe somo kidogo kwenye hili.Inategemea na akili yako ladha ipo kichwani mwako
Mim sichepuki Wala sijawahi kuchepuka ila nikishaachana na mwanamke mmoja ndo natafuta mwingneKwahiyo wewe utachepuka mpaka uwamalize wote, au point yako ni nini?
Wakishakua na umri gani wanastaafu michepuko?Ishu kubwa huwa ni utoto tu wakishakuwa hawachepuki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatuondoki,tutabebishana hapa hapa mpaka uki log out ukamsumbue mtoto WA mtu!Haya tokeni msibebishane hapa kwenye uzi wangu 🤣 , nitakuwekea wewe na baba Uswege wako Mwachiluwi kijicho cha husda!
Kwa hiyo wa kwako unajijua uko peke yako?Wafanye yote lakini Mimi sitaki kujua nashea na mtu moyo huo Mimi sina!!!
Kwanini mkuu?Hii comment Niliiota🤔
Duuh ni hatari sana, na dunia ya leo na magonjwa yote, hamuogopi?Ali
Aliyekujibu hivyo kama mwanaume basi atakuwa ana kisukari,wivu unamsumbua.
Ukiwa mwanaume uliyekamilika,kutulia na mwanamke mmoja katika kipindi chote cha uhusiano inakuwa ngumu sana.
Sisi hatuna tofauti na mbwa dume. Mbwa dume akiona jike tu anawehuka akili na Kuna muda midume ya kutoka kimara,mburahati,tandika na goba inaweza kumfungia safari mbwa jike aliyepo chanika kisa kufuata uroda.
Hiyo ndiyo asili ya uanaume. Tunaenda dominance. Siyo uhuni.
Kwa heshima yangu, tengua TASAVALI 😂🤣Nimegoma, sitengui kauli 🤣 🤣 🤣 😆
asanteSame idea nilitaka kusema hivyo
View attachment 3422217
Kuna events kabla hazijatokea naziotaKwanini mkuu?
Ni Dark psychology facts about Menasante
Hakunatu timamu asieogopa magonjwa.Duuh ni hatari sana, na dunia ya leo na magonjwa yote, hamuogopi?
Uko vizuri mkuuKuna events kabla hazijatokea naziota
Nashukuru Sana WA kwangu anajielewa,hata kama atakuwa na mtu nadhani kamficha kuliko mirungi!Kwa hiyo wa kwako unajijua uko peke yako?