Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #181
Sasa mnakujaga kufanya nini?Mwislamu haruhusiwi kushiriki jambo lolote linaloendeshwa kinyume na taratibu za kiislamu zilizofundishwa na mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم
Kwakuongezea nyinyi wakristo mnapohudhuria hafla za kidini za waislamu katika mambo ya musiba au sherehe tunaona kuwa mnajipendekeza kushiriki mambo ambayo hayawahusu. Kila mtu aangalie mambo ya dini yake.Basi hiyo ni dini ya ajabu sana inayohamasisha na kuelekeza kila aina ya njia ya kuongeza gap katika ubaguzi. By the way, hatupungukiwi na wala hawatuongezei chochote kwa wao kutoshiriki mambo ya Kikristo. Acha wakomae na hali zao.
Nawashangaa hao wanaokuja!.Sasa mnakujaga kufanya nini?
Maswali ya chekechea!Nanukuu: "Na ni kweli kwamba kila analolifanya muislamu lazima liwe lina maelekezo kutoka kwenye Quran au hadithi au tafsiri na maelekezo ya wanachuoni wanaotambulika."
OK. 1. Sasa ghorofa la K/K limeporomoka na ww upo hapo. Unaanza kutafuta Quran ili upate kifungu chenye maelekezo nn cha kufanya au ?
2. Umepata safari ya kuelekea Mwanza haraka e.g. ww ni Askari; kutoka kwa boss wako. Ww unaenda kutafuta kitabu chenye maelekezo?
3. Wewe umekuja hapa jukwaani na kuandika hiki ulichoandika. Naomba utoe ni kifungu gani kwenye Quran kilichokupa maelekezo.
Unajishaua tuNawashangaa hao wanaokuja!.
Mimi mama yangu alisilimu toka ukristo na hadi leo wajomba zangu wengi bado ni wakristo na hadi leo sitii mguu kwenye misiba yao kwakuwa taratibu zao za kuzikana ziko kinyume na taratibu za dini yangu.
Hivi wewe unatumia akili yako sawasawa, kaombe tafsiri ya Surat qaafirun , uislamu unatufundisha mpaka namna ya kulala, kuzungumza, ku ingiliana na mkeo nk, uislamu haujaacha kitu, narudia ni mgonjwa sawa, kusaidia au kutoa sadaka tumeusiwa kila palipozungumzwa kusimamisha swala basi lazima pasemwe na kutoa sadaka ama zaka, lakini hatujaambiwa tushiriki ibada za Imani nyingine kwa maana kila mtu ana dini yake full stopNanukuu: "Na ni kweli kwamba kila analolifanya muislamu lazima liwe lina maelekezo kutoka kwenye Quran au hadithi au tafsiri na maelekezo ya wanachuoni wanaotambulika."
OK. 1. Sasa ghorofa la K/K limeporomoka na ww upo hapo. Unaanza kutafuta Quran ili upate kifungu chenye maelekezo nn cha kufanya au ?
2. Umepata safari ya kuelekea Mwanza haraka e.g. ww ni Askari; kutoka kwa boss wako. Ww unaenda kutafuta kitabu chenye maelekezo?
3. Wewe umekuja hapa jukwaani na kuandika hiki ulichoandika. Naomba utoe ni kifungu gani kwenye Quran kilichokupa maelekezo.
Akhi, umeniwahi nami nimemwambia aombe tafsir ya surat qaafirun ili aeleweKwakuongezea nyinyi wakristo mnapohudhuria hafla za kidini za waislamu katika mambo ya musiba au sherehe tunaona kuwa mnajipendekeza kushiriki mambo ambayo hayawahusu. Kila mtu aangalie mambo ya dini yake.
Washirikina wa Makka walipomuomba mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم ashiriki baadhi ya mambo ya dini yao ya ushirikina Allaah سبحانه وتعالى aliteremsha suuratul Kaafiruna ambapo inayosema :
"{ قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ }
( 1 ) Sema: Enyi makafiri!
{ لَآ أَعۡبُدُ مَا تَعۡبُدُونَ }
( 2 ) Siabudu mnacho kiabudu;
{ وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ
( 3 ) Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
{ وَلَآ أَنَا۠ عَابِدٞ مَّا عَبَدتُّمۡ }
( 4 ) Wala sitaabudu mnacho abudu.
{ وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ }
( 5 )Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
{ لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ }
( 6 ) Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Kwahiyo ninyi wakristo mna taratibu zenu za kuzika wafu wenzenu na sisi waislamu tuna taratibu zetu za kuwazika wafu wetu. Kila mtu aangalie yanayomhusu.
Baarakallaahu fiyka ndugu yangu.Akhi, umeniwahi nami nimemwambia aombe tafsir ya surat qaafirun ili aelewe
Hakuna mahala kwenye Quran wala hadithi za mtume صلى الله عليه وآله وسلم wala maelekezo ya wanazuoni hasa wa madhehebu yangu ya ahlissunna Wal jamaa , hakuna mahala popote ambapo waislamu wameruhusiwa kuwaua makafiri ( wenye kufuata dini kinyume na uislamu ) kiholela bila sababu yoyote. Mtume صلى الله عليه وآله وسلم alipoutawala mji wa Madina palikuwa na wafuasi wa dini ya kiyahudi na katika mambo ambayo mtume aliyafanya mwanzoni kabisa ni kufanya mikataba ya kuishi kwa amani na mayahudi waliopo katika mji wa Madina. Hali iliendelea hivyo hadi wayahudi walipovunja mikataba ya amani waliyowekeana na Mtume صلى الله عليه وآله وسلم kwa kujiunga na washirikina wa kiarabu kutoka katika mji wa Makka waliokuwa wanampiga vita Mtume na waislamu ndipo hapo Mtume alipowapiga vita wayahudi kutokana na uhaini waliomfanyia na akawafukuza katika mji wa Madina wakakimbilia katika mji wa khaibar.za ndaaani kabisa inasemekana sio kosa Mwislamu kuua mtu asiyekuwa wa dini yake, Quran inaruhusu kabisa
Wewe ni muongo. Halafu hii habari ya mabikra 72 sijui mliiokota jalala gani! Ni kweli moja ya starehe za peponi ni wanawake wasafi ambao ni mabikra.Inaruhusiwa kuua mtu ambaye si Muislamu. Wala si tatizo na tena hapo unapewa mabikra 72
Sawa mkuu.Hivi wewe unatumia akili yako sawasawa, kaombe tafsiri ya Surat qaafirun , uislamu unatufundisha mpaka namna ya kulala, kuzungumza, ku ingiliana na mkeo nk, uislamu haujaacha kitu, narudia ni mgonjwa sawa, kusaidia au kutoa sadaka tumeusiwa kila palipozungumzwa kusimamisha swala basi lazima pasemwe na kutoa sadaka ama zaka, lakini hatujaambiwa tushiriki ibada za Imani nyingine kwa maana kila mtu ana dini yake full stop
Mbona itakuwa mwislam atakayekuuliza maswali kama niliyouliza mimi si naye atakuwa ni mpumbavu kma mimi? Bora mimi umeniacha na upumbavu wangu.Maswali ya chekechea!
Kama akili yako inakwambia kwamba umeniuliza maswali magumu basi umejidanganya sana.
Ungekuwa umeuliza kwa nia ya kuelewa ningekupa majibu yote toka ndani ya Quran , hadithi za mtume na maelekezo ya wanachuoni.
Ila kwa sababu nia yako ni kushindana na kila mwenye mtazamo kama nilionao mimi nimeamua kukuacha na upumbavu wako!
Lakini Lau nakutana na muislamu mwenye nia ya kujifunza dini yake akiniuliza maswali kama uliyouliza wewe nitamjibu ndani ya muda mfupi sana na sitatumia nguvu kubwa kutafuta majibu ya maswali mepesi sana kama uliyouliza wewe.
Sawa mkuu.Kwakuongezea nyinyi wakristo mnapohudhuria hafla za kidini za waislamu katika mambo ya musiba au sherehe tunaona kuwa mnajipendekeza kushiriki mambo ambayo hayawahusu. Kila mtu aangalie mambo ya dini yake.
Washirikina wa Makka walipomuomba mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم ashiriki baadhi ya mambo ya dini yao ya ushirikina Allaah سبحانه وتعالى aliteremsha suuratul Kaafiruna ambapo inayosema :
"{ قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡكَٰفِرُونَ }
( 1 ) Sema: Enyi makafiri!
{ لَآ أَعۡبُدُ مَا تَعۡبُدُونَ }
( 2 ) Siabudu mnacho kiabudu;
{ وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ
( 3 ) Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
{ وَلَآ أَنَا۠ عَابِدٞ مَّا عَبَدتُّمۡ }
( 4 ) Wala sitaabudu mnacho abudu.
{ وَلَآ أَنتُمۡ عَٰبِدُونَ مَآ أَعۡبُدُ }
( 5 )Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
{ لَكُمۡ دِينُكُمۡ وَلِيَ دِينِ }
( 6 ) Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Kwahiyo ninyi wakristo mna taratibu zenu za kuzika wafu wenzenu na sisi waislamu tuna taratibu zetu za kuwazika wafu wetu. Kila mtu aangalie yanayomhusu.
Ndo mana nikasema komaeni na hali zenu - hatujawaita mje huku.Mwislamu haruhusiwi kushiriki jambo lolote linaloendeshwa kinyume na taratibu za kiislamu zilizofundishwa na mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم
Nami nikasema ninawashangaa wanaokuja kujikombakomba kwa waabudu misalaba!!Ndo mana nikasema komaeni na hali zenu - hatujawaita mje huku.
Mwislamu atakayeniuliza atakuwa anataka kujua linalofaa alifanye na lisilofaa aliache.Mbona itakuwa mwislam atakayekuuliza maswali kama niliyouliza mimi si naye atakuwa ni mpumbavu kma mimi? Bora mimi umeniacha na upumbavu wangu.
Swali zuri sana lakini hatahivyo siwezi kukujibu tafuta vyanzo mbalimbali vinavyochambua ibada ni niniIbada ni nini?
Christmass si kesho kutwa tu, observe bwana kafir.Basi hiyo ni dini ya ajabu sana inayohamasisha na kuelekeza kila aina ya njia ya kuongeza gap katika ubaguzi. By the way, hatupungukiwi na wala hawatuongezei chochote kwa wao kutoshiriki mambo ya Kikristo. Acha wakomae na hali zao.