Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Ibada mkuu sio mazishi , usichanganye mambo mawili kwa wakati mmoja
1. Kuzika ni kustiri mwili ardhini hili halina shida muislamu anaweza kufanya lolote hata kushika chepe na kuweka udongo kaburini

2.Ibada za kikristo ni jambo la kiimani kuna vitu mnaaomba kwa Mungu wenu na kwa utaratibu wenu , hapa muislamu hatakiwi kushiriki kwasababu taratibu za ibada ni tofauti
 
Umenena vyema. Cha msingi hapo ni Wameshiriki. Huo ndo uungwana kuliko kujifungia nyumbani au kuendelea na mishe zako kana kwamba aliyekufa ni kuku na Haikuhusu.
Kama jirani au rafiki yako ni vizuri kushiriki. Lkn baadhi ya wakiristo wanataka waislam nao wabebe msalaba ili wawapige picha warushe kwenye mitandao kuonesha waislam wanavyoshiriki, muislam hatakiwi ashitiriki vitu kama hivyo
 
Sasa hilo sio sawa hata kidogo.
 
Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Achana na hawa Mashekh uchwara wa Tiktok, ukitaka kuchukuwa kila kitu huko Tiktok utapata shida sana mambo mengine yapuuzie tu kila mtu mjuaji.
 
Inaonekana Umekosa malezi ya wazee wako, umelelewa ktk magofu na mabararani, inaonekana umeathirika kisaikolojia baada ya kubakwa mitaani
Wewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa.
 
Wewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa.
Umebakwa na wapita njia matusi unanitukana mimi? Wakiristo mpeni pole mkiristo mwenzenu huyu
 
Umebakwa na wapita njia matusi unanitukana mimi? Wakiristo mpeni pole mkiristo mwenzenu huyu
Wewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa. Au ndo uliyenyonywa uboh na muddy ukiwa mdogo?
 
Back
Top Bottom