Wakiristo wenzio wanakucheka humuWewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa. Au ndo uliyenyonywa uboh na muddy ukiwa mdogo?
Wewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa. Au ndo uliyenyonywa uboh na muddy ukiwa mdogo? Mama yako huyu hapa.Wakiristo wenzio wanakucheka humu
Kwa mtazamo wako huo, shekhe yupo sahihi, kwa maana shughuli ya maziko, toka mwanzo mpaka mwisho, ni ibada? Kwa maana kwenye maziko, utaratibu wote ni wa kidini kuanzia kwenye sala/swala, mpaka tendo la kumwingiza marehemu kaburini.Mazishi ni ibada
Kila mtu achunge ibada zake
Muislamu akihudhuria misiba ya wakristo Kuna mambo hatakiwi kuyafanya
Yale yote yanayohusu ibada au imani zao
Hata mkristo hawezi kwenda kwenye msiba wa kiislamu kisha akamswalia maiti au kushiriki dua labda awe mnafiki.
Muislamu anaweza kwenda msibani kuwafariji na kushiriki baadhi ya shughuli zisizokuwa za ibada ya kikristo, wakianza ibada zao anatembea zake
NB
UISLAMU HAUTAKI UNAFKI NA KUJIONESHA KWA WATU
Na wewe ukienda huko kuzika hao wanawake wa kikristo huko msibani mnachangamana au la, pia hua hao wanawake huko hua wanavaa mavazi gan,Haikatazwi kuhudhuria misiba ya wasio waislamu ila usivuke mipaka. Kwa mfano waislamu huwa hawaagi maiti kwa hivyo watu wakiwa wanaaga wewe unakaa pembeni. Na pia kwa upande wa wanawake hawatakiwi kwenda makaburini, sasa unakuta mwanamke muislamu lakini anaenda mpaka makaburini kuzika ndio mana mashehe wanagomba.
Wewe bwana acho kuokota vitu ovyo ovyo, waislamu tuna quraan, iliyopokelewa na mtume , ikisha kuna Sunnah, pia Hadith na maswahaba, pia kuna tabiin, alafu kuna maimau wakubwa wanne,Kwa mtazamo wako huo, shekhe yupo sahihi, kwa maana shughuli ya maziko, toka mwanzo mpaka mwisho, ni ibada? Kwa maana kwenye maziko, utaratibu wote ni wa kidini kuanzia kwenye sala/swala, mpaka tendo la kumwingiza marehemu kaburini.
Ila haya mambo ya utengano kwenye maisha ya kijamii, ni upuuzi inaofanywa na sisi wapokea dini, tofauti na walioleta dini.
Kule Uturuki, Papa Francis alipotembelea nchi hiyo, shekhe mkuu aliruhusu na kuambatana na papa msikitini ambapo Papa na shekhe mkuu walifanya ibada ya pamoja.
Kule India, kuna eneo moja lina wakristo wengi na waislam idadi yao ni ndogo sana. Waislam wa mahali pale, hawana hata msikiti. Paroko wa kanisa la mahali pale aliruhusu waislam pia wawe wanafanyia ibada kanisani kuliko nje kwenye jua na mvua. Kanisa linatumika Ijumaa na waislam, Jumapili linatumika na wakristo.
Mafundisho ya dini zote yanasisitiza upendo. Upendo uko wapi kama huwezi kusaidiana na jirani au ndugu yako? Kuna watu wamechakachua mafundisho ya kweli, halafu wanaeneza chuki kupitia dini. Ninachoamini ni kuwa kama Mungu hataki dini fulani iwepo Duniani, hashindwi kuiangamiza au kuifuta, wala hahitaji msaada wa mwanadamu kuofuta au kuiadhibu. Dini zote zinafundisha kuwa Mungu ni muweza wa yote. Kilichopo kiwe kibaya au kizuri, kwa hekima yake, ameruhusu kiwepo. Tuendelee kufundishana yote yaliyo mema kwa kadiri ya mpango wa Mungu, lakini mwamuzi wa mwisho ni Mungu mwenyewe, maana yeye anayaona na kuyajua hata yale ambayo tuna uwezo wa kuyaficha kwa wanadamu wenzetu.
Watu wenhgi hawajui, ila kiuhalisia uislam na ukristo, kwenye masuala ya msingi ya kiimani, vinakaribiana sana kuliko dini yoyote. Wote wanaamini:
1) Uwepo wa Mungu mmoja (waislam hawatambui utatu mtakatifu)
2) Yesu Kristo/ Isa ni mteule wake Mungu, alizaliwa na Bikira Maria kwa njia ya muujiza, alipaa mbinguni akiwa na mwili, atarudi tena (waislam hawamtambui kama ni nafsi ya Mungu bali ni nabii, hawakubali kuwa alikufa msalabani kwa vile alikuwa mteule wake Mungu, atakaporudi itaitawala Dunia yote).
3) Upendo na huruma kwa maskini.
4) Kumpenda na kumtii Mungu
5) Wizi, uzinzi, kuabudu miungu n.k., ni dhambi
Tofauti Kubwa:
Wakristo, rejea mafundisho ya Masiha Yesu Kristo, wanaamini sana katika msamaha, kisasi ni cha Mungu; waislam wanaamini sana katika kuadhibu na kisasi. Hii inawafanya waislam kuwa na misimamo mikali dhidi ya wanayeamini ametenda dhambi, kama vile kuua wazinzi, kukata mikono wevi, kuwaua wanaomkufuuu Allah na mtume wake, n.k. Lakini wakati huo huo, Mtume Mohamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Isa bin Mariam; na huyo anayesema yeye ni mfuasi wake namba moja, alisema kuwa tuwasamehe hata maadui zetu maana kama hatutawapenda maadui zetu, tukawapenda tu marafiki zetu, tutatofautiana vipi na wale wasiomjua Mungu, maana nao huwapenda marafiki zao na kuwachukia madui zao?
Al Jazeera
Pope Francis prays in Istanbul’s Blue Mosque
Pope prays for stronger ties between Vatican and Islam during second leg of his three-day visit to Turkey.
Pope Francis has taken part in a Muslim prayer alongside the Grand Mufti of Istanbul on the second leg of his three-day visit to Turkey.
Francis stood on Saturday morning with his head bowed and hands clasped in front of him for two minutes of silent prayer inside the 17th-century Sultan Ahmet mosque, aiming to show respect for Islam and encourage stronger ties between the two faiths.
“May God accept it,” Rahmi Yaran, the Grand Mufti of Istanbul told the pope at the end of the prayer.
Zamani kilikua kijiwe cha nini?Jf imekua kijiwe cha udini siku hizi
MaarifaZamani kilikua kijiwe cha nini?
Ila jamaa alikuwa kibakaWewe utakuwa mtoto wa wale watumwa waliokuwa wakibakwa na Muddy. Au umetokana na uzao wa kale katoto Aisha. Ndo maana umebeba akili za baba yako mzinzi,mwasherati,muuaji,mbakaji na mchafu kabisa. Au ndo uliyenyonywa uboh na muddy ukiwa mdogo? Mama yako huyu hapa.
View attachment 3158386
IbadaMazishi kwenye ukristo ni ibada au siyo ibada? Tuanzie hapo kwanza.
Ibada ni nini?Mazishi kwenye ukristo ni ibada au siyo ibada? Tuanzie hapo kwanza.
Ata Christmas wamekatazwa kututakia kheri. Watch and learnOooooH! Kumbe ni mkakati wa watu fulani wanaovaa baraghashia na kujitanda nguo nyekundu shingoni. Labda watawapata watakaochangia ujenzi wa madrasa.
Asipohudhuria mdibani mmuulizeNimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
Ahahaha mdibani ndio wapiAsipohudhuria mdibani mmuulize
Ila asipohudhuria mazishi ni sawa.
Mazishi ni ibada iwe kwa waislamu au wakristo na kila ibada ina taratibu zake na lazima zifuate na kutimia. Ikiwa mazishi ni ibada hakuna mkristo wala muislam anaeruhusiwa kushiriki ibada asiyoijua wala kuiamini.
Ila kwa upande wa msiba, hili ni jambo la wote haijalishi dini. Mtu yoyote akifiwa lazima watu wote wahudhurie mdibani, ikiwa ni pamoja na kutoa pole, kutoa msaada kwa wafiwa na mengine mengi yahusuyo msiba
Ninachokuthibitishia ni kwamba katazo la kutoshiriki mazishi ya makafiri lipo. Na ni kweli kwamba kila analolifanya muislamu lazima liwe lina maelekezo kutoka kwenye Quran au hadithi au tafsiri na maelekezo ya wanachuoni wanaotambulika.Ama kweli mtu wa kitabu! Hivi ww kila unalofanya au kutenda lipo kwenye kitabu?
Hoja iliyopo hapa ni kuhusu Uwepo wa katazo kwa mtu Mwislamu kushiriki mazishi ya mtu Mkristo. Labda iwe sijaielewa mada.
Ninajua kwamba wapo baadhi ya watu (wakiwemo Waislam wachache sana) hutoa visingizio vya Udini kwa kutohudhuria mazishi ya wakristo au hata ya Waislam wenzao madhehebu tofauti (Shia au Suni au Ahmadiya etc)lakini ukweli ni kwamba; ama ni wavivu au wanaogopa kufika maeneo ya makaburi n.k. halafu wanatumia udini kama kichaka cha kujificha kwa mambo yao.
Duh! Hii kali aisee. Kwa hiyo tuishi nao kwa machale sio?za ndaaani kabisa inasemekana sio kosa Mwislamu kuua mtu asiyekuwa wa dini yake, Quran inaruhusu kabisa
Nanukuu: "Na ni kweli kwamba kila analolifanya muislamu lazima liwe lina maelekezo kutoka kwenye Quran au hadithi au tafsiri na maelekezo ya wanachuoni wanaotambulika."Ninachokuthibitishia ni kwamba katazo la kutoshiriki mazishi ya makafiri lipo. Na ni kweli kwamba kila analolifanya muislamu lazima liwe lina maelekezo kutoka kwenye Quran au hadithi au tafsiri na maelekezo ya wanachuoni wanaotambulika.
Hauwezi kusema kuwa jambo fulani linafaa au halifai, ni halali au ni jaramu bila ushahidi wa kielimu toka kwenye vitabu vinavyotambulika na kukubalika.
Ikiwa mtume صل الله عليه وآله وسلم alikatazwa kufika kwenye kaburi la mnafiki basi hukumu hiyo inawahusu makafiri wote halifai kwenda kwenye makaburi yao.
Basi hiyo ni dini ya ajabu sana inayohamasisha na kuelekeza kila aina ya njia ya kuongeza gap katika ubaguzi. By the way, hatupungukiwi na wala hawatuongezei chochote kwa wao kutoshiriki mambo ya Kikristo. Acha wakomae na hali zao.Ata Christmas wamekatazwa kututakia kheri. Watch and learn
Twende polepole bro.za ndaaani kabisa inasemekana sio kosa Mwislamu kuua mtu asiyekuwa wa dini yake, Quran inaruhusu kabisa
Mwislamu haruhusiwi kushiriki jambo lolote linaloendeshwa kinyume na taratibu za kiislamu zilizofundishwa na mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلمDah! Kwani ibada ya mazishi wanafanyiwa watu hai waliohudhuria hapo au anafanyiwa marehemu??