2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Mkuu sio kwamba NATO haiwezi kupigana na Russia.mbona unatuongopea ndudu kuna nchi gani ambayo inaweza kuanzisha vita na urusi,iyo Nato ina nchi 28 lakini kila siku inaongeza ulinzi kwa ajiri ya kuofia kuvamiw na warusi.iyo china yenyew inauziwa siraha na warusi au ulikuwa ujui
Number isn't a matter but size of the fight.
Kwa Historia tu, NATO ndio iliiangusha Urusi (USSR)/kupitia Proxy War. Mfano kule Afghanistan etc.1990.
KUna mkataba waliingia kati ya Urusi na United States unaitwa MAD (Mutually Assured Destruction).
Ni kwamba haya mataifa yana silaha ambazo zinaweza kuifuta Dunia kwa sekunde.
Ndio maana yako very sensitive kuhusu kupigana vita yenyewe kwa yenyewe kwakua wanajua Wanaweza kujiangamiza wote.na ndio maana Wameelekeza vita yao zaidi kwenye ku-Influence (Allience) na Uchumi.
Ambapo huko bado USA ni Leader wa Dunia.
Russia ya Putin aliwahi kusema ikitokea anapigana na USA, hatatumia silaha za kawaida. Ataanza na silaha zA nuclear. Anajua Nukes ndio suluhisho. Hizi silaha zingine ni mbwembwe tu katika kuishinda USA.