Je, ni kweli wakili Mwabukusi ni mhaini?

Mwanzo umesema Mungu atamuwajibisha kisha unasema yeye ni mkuu na hakuna wakukuwajibisha!
 
Kwaiyo huyu mwabukusi alitaka kumpindua raisi?????

Nyie ccm ni waoga sana wa hoja nzito mkiona mnashindwa kwa hoja mnakimbilia police na makesi ya hovyo.....

siku moja nyie mtakuwa pamoja na sisi na tutaongea kugha moja ni swala la wakati
Unadhani wanaotaka kupindua wanaanzaje? Ni kauli tu!! Halafu Mwabukusi mwenyewe alisema haogopi Mahakama, kwanini nyie mashabiki zake mnapata mchecheto?
 
Huyo Maalim Seif walisema ana nyaraka za siri za serikali

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Serikali ilishindwa kesi si kwasababu ilishindwa kuthibitisha tuhuma, ilishindwa kwa sababu ya procedure.
Alishtakiwa na
Serikali ya Zanzibar badala ya URT wakati SMZ haikua na Sheria hiyo iliyotumika kumshtaki.

Na ile ya uhaini walishinda kwa sababu Zanzbar haikua Dola, hivyo walishtakiwa kwa kosa ambako halipo kisheria.
 
Nyie mdanganyeni Mama yenu na hizo kesi za michongo. Soon ataogopa hata usafiri nje ya nchi kuogopa maswali.... Labda Uarabuni kwa Wajomba zake.
 
Mambo ya kisiasa huwa hayatabiriki, si unaona Maendela alikaa jela for 27yrs kwani ni kweli alikua muhaini? Si alikua anpambania haki sawa kwa wote,Mwambukusi avumile na anaweza aachiwa 2030 baada ya Mama kumaliza muda wake!!
 
In wataka DP world's voice!!
 
Itajulikana mahakamani.

Hata Bibi Titi alishikwa kwa uhaini wakati wa nyerere. Kesi za uhaini si mara ya kwanza Tanzania.
 
Aliwekwa kizuizini aliyekuwa rais wa Zanzibar Aboud Jumbe kwa kutaka kuvunja muungano, sembuse hao nyoko, huu muungano una mizizi mirefu sana siyo kuwavunjwa leo wala kesho. Mtakufa tu na sonona.
Ni kweli ni muungano kwa maslahi ya wazungu na waarabu ndio mizizi yenyewe.
 
Kiburi cha uzima na madaraka hiki
 
Usihofu Mungu ataamua ugomvi soon usinung'unike wala usilie πŸ™πŸ˜­πŸ€£πŸ˜‚ sana sana muombee toba na rehema watufudenge maana ni hakika Mungu ataamua ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…