Itajulikana Mahakamani ndiko kwenye kazi ya kujua mbivu na mbichi kuhusu sheria.
Uhaini siyo lazima mtu aende na kifaru au fighter jet, bali mipango tu ikidhihiri kuwa unataka kuitoa serikali halali nje ya sanduku la kura inatosha kuwa umepanga uhaini.
Akina Lugangira mwaka 1983 walikuwa hawana silaha na kwanza Lugangira mwenyewe alikuwa Uingereza. Lakini aliunganishwa na wenzie akina Hanspope kwenye mashtaka ya uhaini.
Kauli za Mwabukusi zilitoka kwenye mwelekeo wa kisheria na kuwa za kichochezi. Isitoshe alionywa kuhusu matamshi yake na akasema yeye Mahakamani ni kama chura na maji, haogopi. Kwa hiyo tusipotezeane muda humu maana amefika anapopataka.
Cc
denooJ