Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
Hata mtoa comment hana akiliSwali zuri sana hili! Mwanaume anafuataje akili Kwa mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mtoa comment hana akiliSwali zuri sana hili! Mwanaume anafuataje akili Kwa mwanamke?
We unaonaje?Ila wait...mnamaanisha kaja.. poshy.. wana akili ndogo
Aisee, shida nini?Mimi binafsi sipendi wadada wenye wowowo kabisa napenda mwenye umbo la saizi
UweeKikao cha mwisho kilisema.Wote mkiwa na akili hamdumu..
Wewe mbo.o inakunyima akili ya kutafuta hela au?Makalio humnyima muda wa kutumia akili, anatumia muda mwingi bafuni na kwenye dressing table kuangalia makalio! Akiwa kwenye publi. Asipopata attention sababu ya makalio anapata Sonona au depression! Lazima akili iwe down!
Kutwa mara 5Naskia kwamba huwa hawaendi chooni pana ukweli hapa
Hili nalo nenoSio kweli.
Ni uchungu wa kukataliwa unafanya wanaume wawaseme vibaya.
Sio unapenda kufira wewe?Kwanza kabisa bila kuweka picha mnaupoozesha huu uzi.
Niseme ukweli napenda wanawake mabonge na wenye kalio kwasababu kuu mbili;
Kwanza ni watamu kiuchakataji ni watamu na huleta hamasa ya tendo.
Pili wanawake hawa wanaroho nzuri sana wewe chunguza utakuja niambia.
Kwani kulea mtoto kunahitaji akili au kunahitaji pesaHao watoto mnaozaa wanalelewa na nani?
AiseeWenye matako wanajiamini sababu ya matako yao kujiamini kwao kunawafanya wakoswe adabu, utii, heshima na akili
KibamiaAisee, shida nini?
Maskini hawana pesa wanalea watoto kwa pesa au akili?Kwani kulea mtoto kunahitaji akili au kunahitaji pesa
Ndio maana una changamoto ya afya ya akiliKibamia
Poleni sanaSisi wenye viba100 ndio hatupendi wanawake wanene
Hata chapati 5 bado hamkurudisha mechiThread km hii bila picha ni km chapati tatu bila maharage
Mimi nina ndoa ya miaka 48Akili zao mbovu saana hata ndoa zao hazidumu
Shida ni kwamba wanajiamin kiasi cha kuachia chura ifanye maamuzi pale panapohitajika akili
Kwenye nini?Dah inasikitisha sana
Ni kweli asilimia 98%Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili?
Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.