Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.

Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
Screenshot_2024-03-02-21-17-02-631_com.instagram.android~2.jpg
 
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia 😅
 
Simba na Yanga katika miaka hii 10 hazijawa na huu urafiki bwashehe. Hakuna na haitatokea.
 
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo [emoji28], kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia [emoji28]
Yanga wameifanyia mangapi Simba, mpaka Raisi wenu alivaa jezi ya mpinzani.

Huu ni mwendelezo tu ya haya mnayofanya, oneni aibu hio sawa.

Hata kama ushabiki msitetee kila kitu, mjirekebishe, mbona nyie mechi zenu Simba hawahusiki kabisa !
 
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia 😅
Nakataa kabisa

Toka lini haya mahaba yakaanza kutaradadi?

Mfumo ni ule ule, adui muombee njaa.

Uto jazz band hawawezi kuacha kuwakirimia wageni katu
 
Yanga wameifanyia mangapi Simba, mpaka Raisi wenu alivaa jezi ya mpinzani.

Huu ni mwendelezo tu ya haya mnayofanya, oneni aibu hio sawa.

Hata kama ushabiki msitetee kila kitu, mjirekebishe, mbona nyie mechi zenu Simba hawahusiki kabisa !

Ndio maana nimeweka angalizo kuwa shabiki wa kawaida huwezi elewa kitu nilichoandika...

Kwa hiyo ulitaka Hersi avae jezi ya Simba hadharani?

Unadhani kitu gani kingetokea endapo angevaa jezi ya Simba?

Upinzani wa Simba na Yanga upo ndani ya mipaka ya Tanzania pekee...
 
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo [emoji28], kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia [emoji28]
Wakati Manara anawaambia wapinzani wa Simba wasiingie vyumbani wala wasiwashe AC naona ulikuwa kwenu Tandahimba huko hujaja mjini bado
 
Huwezi kuelewa mtu kama wewe unayeona ulimwengu katika rangi 2 tu nyeupe na nyeusi...
 
Ndio maana nimeweka angalizo kuwa shabiki wa kawaida huwezi elewa kitu nilichoandika...

Kwa hiyo ulitaka Hersi avae jezi ya Simba hadharani?

Unadhani kitu gani kingetokea endapo angevaa jezi ya Simba?

Upinzani wa Simba na Yanga upo ndani ya mipaka ya Tanzania pekee...
Mbona unaandika vitu ambavyo haviendani, [emoji849]

Sasa wewe unaona sawa kile alichofanya Hersi ? Na sasa bado mnaendeleza ujinga wenu
 
Kama unaona huelewi nilichoandika, si lazima uelewe mzee...
 
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?

Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...

Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...

Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia 😅
Wewe ndio kumbe hujui.

Simba na Yanga hazijawahi kuombeana mema kwa namna yeyote ile bila kujalisha ni katika ushiriki wa michuano ambayo inaweza kuitangaza nchi.

Kila timu ina hiyo spirit.

Hata wanaojitokeza hadharani kusema kwamba wanaiunga mkono Yanga au Simba kwa kigezo cha kuiwakilisha nchi, wengi hufanya kwa unafki tu sio kwa mapenzi ya kweli kutoka moyoni.

Utofauti unakuja ni kwenye njia zinazotumika katika kuonesha wewe huisapoti Yanga au Simba kwenye michuano ya kimataifa.

Kwa Simba utaona kabla na baada ya mechi wakionesha kutoitakia mema Yanga kwenye mechi yao ya kimataifa.

Hiyo inaitwa inderect

Lakini kwa Yanga utaona hilo lipo tofauti.

Kwani hadi viongozi wanahusika kama mpango kazi wa kuifelisha Simba.

Yanga ndio timu pekee ambayo viongozi wake waliwahi kwenda kuwapokea wapinzani wa Simba ili Simba ifungwe.

Yanga ndio timu pekee ambayo imewahi kuwatengea semina ya kuwapa mbinu wapinzani wa Simba ili waifunge Simba.

Yanga ndio timu pekee ambayo viongozi wao waliwahi kutoa shutuma za uongo kwa timu pinzani kuwa iwe makini na vyumba vya kubadilishia nguo kwa maana Simba hupulizia sumu.

Na jana tulisikia hizi tetesi za Jwaneng Galaxy kupokelewa hapo Kigamboni

Japo hiyo habari bado haijawa confirmed ila kupitia rekodi hizo hapo juu naona hilo linauwezekano mkubwa kuwa ni kweli.
 
Back
Top Bottom