Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuniuliza mimi haya, waulize wenzako walichokua wanafanya kabla ni sahihi? Huwa mna tatizo moja jambo mnaweza fanya nyie wenzako wakijakufanya mnaanza kuhoji usahihi. Kama ulikua hufahamu waulize kaka zako waliokua wanafuatilia kipindi hicho.Kwahiyo mlikuwa sahihi mlichokifanya ? Hivi mpaka Raisi wa TFF akemee bado utasema mipango ya ndani ni kuwa kitu kimoja ???
Kweli Yanga wenye akili wawili tu
Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
View attachment 2922583
Msamehe tu kwani yeye si mmoja ya wale wawili aliowasema Haji ManaraMbona unaandika vitu ambavyo haviendani, [emoji849]
Sasa wewe unaona sawa kile alichofanya Hersi ? Na sasa bado mnaendeleza ujinga wenu
Chizi Maarifa punguza mihemko ya kisingeli kutwa kukatia vibuno wanaume.Inatusaidia nini sisi? Haya kiko wapi? Na kama Simba wangeshindwa sisi tungefaidika na nini? Hizi ni roho za kichawi tu. Viongozi badilikeni acheni huu upumbavu.
Mwishoni wote tunaonekana tu vilaza.
View attachment 2922583
Sawa mama.Chizi Maarifa punguza mihemko ya kisingeli kutwa kukatia vibuno wanaume.