Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Simba na Yanga katika miaka hii 10 hazijawa na huu urafiki bwashehe. Hakuna na haitatokea.Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Simba na Yanga katika miaka hii 10 hazijawa na huu urafiki bwashehe. Hakuna na haitatokea.
Yanga wameifanyia mangapi Simba, mpaka Raisi wenu alivaa jezi ya mpinzani.Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo [emoji28], kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia [emoji28]
Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia
Nakataa kabisaYaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo 😅, kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia 😅
Yanga wameifanyia mangapi Simba, mpaka Raisi wenu alivaa jezi ya mpinzani.
Huu ni mwendelezo tu ya haya mnayofanya, oneni aibu hio sawa.
Hata kama ushabiki msitetee kila kitu, mjirekebishe, mbona nyie mechi zenu Simba hawahusiki kabisa !
Wakati Manara anawaambia wapinzani wa Simba wasiingie vyumbani wala wasiwashe AC naona ulikuwa kwenu Tandahimba huko hujaja mjini badoYaani unaamini kilichoandikwa hapo?
Basi wewe huzijui vizuri timu za Kariakoo, Simba na Yanga ni mapacha wasioweza kuumizana linapokuja suala la kitaifa na hili mashabiki wengi wa miaka hii hawakijui...
Kama kweli Yanga iliwahost hao jamaa, basi ilikuwa ni makakati mahususi wa kimafia wa timu hizi za Kariakoo [emoji28], kuwaingiza mkenge hao wageni wakiamini wamepata rafiki kumbe ni tego...
Na kama wamekula vya Avic na walishaji ni Yanga, wajue wamekula vya Simba pia [emoji28]
Wakati Manara anawaambia wapinzani wa Simba wasiingie vyumbani wala wasiwashe AC naona ulikuwa kwenu Tandahimba huko hujaja mjini bado
Mbona unaandika vitu ambavyo haviendani, [emoji849]Ndio maana nimeweka angalizo kuwa shabiki wa kawaida huwezi elewa kitu nilichoandika...
Kwa hiyo ulitaka Hersi avae jezi ya Simba hadharani?
Unadhani kitu gani kingetokea endapo angevaa jezi ya Simba?
Upinzani wa Simba na Yanga upo ndani ya mipaka ya Tanzania pekee...
Jamaa Uto huyo.Wakati Manara anawaambia wapinzani wa Simba wasiingie vyumbani wala wasiwashe AC naona ulikuwa kwenu Tandahimba huko hujaja mjini bado
Mbona unaandika vitu ambavyo haviendani, [emoji849]
Sasa wewe unaona sawa kile alichofanya Hersi ? Na sasa bado mnaendeleza ujinga wenu
Timu haijatajwa mzee.Hizi habari sio za kweli ni uzushi Kabisa kwanza inabidi uulize sisi tunakaa kigamboni kwanza Hawa jamaa hawajafanya mazoezi avic town sio kweli
Wewe ndio kumbe hujui.Yaani unaamini kilichoandikwa hapo?