Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Kuna wenzao mkuu, wanaitwa:-
Boko Haram, al-Shabaab, Janjaweed, iS, nk
Na wote hao huua watu huku wakisema allah akbar
Kwahiyo na wewe kwa kuandika Allah akbar ushakua muislam tayar si ndivyo
 
Tatizo ni pale vikundi hivyo ya kigaidi vinavyojitambulisha kama wafia Uislam vinapofanya mauaji wapo Waislam wanavishabikia hata huku jukwaani wamo.
Wao kujinasibisha na uislam au kutetewa na baadhi ya memba hapa ndani sio kigezo chakuunganisha uislam kwenye huo ujinga wao pia hao memba umepata uthibitisho upi kuwa waislam ndio kama hao magaidi Allah sw kupitia kwa mtume wake saw hawakuelekeza watu kuua kwamisingi ya uislam hakuna
 
Mkiambiwa hamna akili mtaanza kubisha duniani angalia mataifa ya kiislam na yasiyo ya kiislam yapi mengi halaf ukaangalie mataifa yenye hali mbaya ya kiuchumi yapi kati ya hayo makafiri na washirikina mna matatizo
 
Wewe kafiri huujui uislamu bado, kaa kwa kutulia dogo!
 
Ukifa na Imani yako ya moja Sawa na Tatu motoni
Dogo, mbona wajiongelea mwenyewe?!!

Quran 40:60
وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ
Al-Barwani
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
 
Na wewe ni gaidi?
 
Sura gani Aya ya ngapi wewe kafiri
 
Maandiko yao yanatafsiliwa tofauti na kila mmoja, ndio mwanzo wa kupandikizana chuki za kijinga.
 
Mkiambiwa hamna akili mtaanza kubisha duniani angalia mataifa ya kiislam na yasiyo ya kiislam yapi mengi halaf ukaangalie mataifa yenye hali mbaya ya kiuchumi yapi kati ya hayo makafiri na washirikina mna matatizo
Vichwani nyinyi mko na kinyesi badala ya ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…