Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Tatizo ni pale vikundi hivyo ya kigaidi vinavyojitambulisha kama wafia Uislam vinapofanya mauaji wapo Waislam wanavishabikia hata huku jukwaani wamo.
Wao kujinasibisha na uislam au kutetewa na baadhi ya memba hapa ndani sio kigezo chakuunganisha uislam kwenye huo ujinga wao pia hao memba umepata uthibitisho upi kuwa waislam ndio kama hao magaidi Allah sw kupitia kwa mtume wake saw hawakuelekeza watu kuua kwamisingi ya uislam hakuna
 
Uliona wap dini inawafundisha waumini wake karete na Judo?...ni uhayawani mtupu....mbaya zaid wanashauriana wazaliane wengi ili wawe wengi Nchini na kuweza kuweka utawala wa kiuslamu...wasichikijiua elimu ya kushawishi hawana zaid tu ya kulalamika kwa kila jambo na kuongeza mzigo kwny familia kwa kigezo Cha kuwa wengi
Mkiambiwa hamna akili mtaanza kubisha duniani angalia mataifa ya kiislam na yasiyo ya kiislam yapi mengi halaf ukaangalie mataifa yenye hali mbaya ya kiuchumi yapi kati ya hayo makafiri na washirikina mna matatizo
 
Wao kujinasibisha na uislam au kutetewa na baadhi ya memba hapa ndani sio kigezo chakuunganisha uislam kwenye huo ujinga wao pia hao memba umepata uthibitisho upi kuwa waislam ndio kama hao magaidi Allah sw kupitia kwa mtume wake saw hawakuelekeza watu kuua kwamisingi ya uislam hakuna
Wewe kafiri huujui uislamu bado, kaa kwa kutulia dogo!
 
Ukifa na Imani yako ya moja Sawa na Tatu motoni
Dogo, mbona wajiongelea mwenyewe?!!

Quran 40:60
وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ
Al-Barwani
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
 
Wao kujinasibisha na uislam au kutetewa na baadhi ya memba hapa ndani sio kigezo chakuunganisha uislam kwenye huo ujinga wao pia hao memba umepata uthibitisho upi kuwa waislam ndio kama hao magaidi Allah sw kupitia kwa mtume wake saw hawakuelekeza watu kuua kwamisingi ya uislam hakuna
Na wewe ni gaidi?
 
Dogo, mbona wajiongelea mwenyewe?!!

وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ
Al-Barwani
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Sura gani Aya ya ngapi wewe kafiri
 
Tatizo linaanzia pale waislamu na vitabu vyao kubagua watu wenye Imani tofauti na yao na kuwaita KAFIRI, dini zote zinahubiri kuungama dhambi na kusamehewa hata kama umefanya dhambi gani kasoro dini ya kiislamu tu DUNIANI, na ajabu kuna dhambi kwenye kitabu chao cha dini wanaelekeza kuchinja kama kuku, kupiga mtu mawe hadi kufa, halafu eti wanainama kumuomba Mungu wakati Jana yake wameua?,

Hakuna dini ya kinafiki Duniani chini ya jua kama dini ya kiislamu na watu wanafiki kama WAISLAMU, ndo maana hata nchi za kiarabu hazisaidiani.

Nyingine zipo upande wa Marekani na Israel nyingine upande wa Palestina, nyingine hazieleweki. Hakuna mkristo aliyewahi kujilipua na mabomu sababu dini haijamfundisha habari za thawabu na mabikra 72 akifa. Ni ujinga na upuuzi kutetea uislam.
Maandiko yao yanatafsiliwa tofauti na kila mmoja, ndio mwanzo wa kupandikizana chuki za kijinga.
 
Mkiambiwa hamna akili mtaanza kubisha duniani angalia mataifa ya kiislam na yasiyo ya kiislam yapi mengi halaf ukaangalie mataifa yenye hali mbaya ya kiuchumi yapi kati ya hayo makafiri na washirikina mna matatizo
Vichwani nyinyi mko na kinyesi badala ya ubongo
Screenshot_20241014-002347_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom