Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Kwa akili zako nyepesi je boko haram wanajidaisha waislam kuua kumbe wakristo ee osama nae ni vile vile tena yule alikua myahudi kabisa ee
naona akili yako nzito, nakwambia ni rahisi mtu yoyote kujinasibu kuwa ni muislamu akiwa na agenda zake mwenyewe
 
india hakuna waislam wala Urusi hakuna waislam? wote wanaabudia Ngombe? Ujue hata Saudia kuna wakiristo ambao hawajitambui kwanini wameumbwa kama ulivyokuwa hujitambui wewe
 
india hakuna waislam wala Urusi hakuna waislam? wote wanaabudia Ngombe? Ujue hata Saudia kuna wakiristo ambao hawajitambui kwanini wameumbwa kama ulivyokuwa hujitambui wewe
Wewe unayeishi kwa matumaini ya kwenda kupewa mabikra 72 huko kusikojulikana ndiye usiyejitambua. Ukifa biashara yako imekwisha.
 
Wewe unaishi kwa matumaini ya kwenda kupewa mabikra 72 huko kusikojulikana ndiye usiyejitambua. Ukifa buashara yako imekwisha.
Unashangaa mabikra, hushangai wewe kunya kupitia tundu badala ya mdomo. siku yakitokea kwenye mdomo itakuwaje? ulijua kama utakunya kupitia huko? Allah ndio muweza wa kila kitu
 
Unashangaa mabikra, hushangai wewe kunya kupitia tundu badala ya mdomo. siku yakitokea kwenye mdomo itakuwaje? ulijua kama utakunya kupitia huko? Allah ndio muweza wa kila kitu
Mbona unaongea utopia, kwani nyie Waislam mnakunya kupitia midomo yenu?
 
Unajidanganya. kwani ulijua kama utazaliwa? Unajua lini utakufa? kama yote hayo huyajui kwanini huamini baada ya kufa kuna maisha?
Thibitisha hicho unachosema. Vinginevyo kaa kimya na amini unachoamini,na usimuone asiye amini unachoamoni ni mjinga kwani naye anakuona vivyo hivyo.
 
india hakuna waislam wala Urusi hakuna waislam? wote wanaabudia Ngombe? Ujue hata Saudia kuna wakiristo ambao hawajitambui kwanini wameumbwa kama ulivyokuwa hujitambui wewe
Upeo wako wa kufikiri (thinking capacity)upo chini sana. Unadhani kuwa mkristo au muislam ni kujitambua, hayo yote umemezeshwa ukiwa mdogo. Ungeweza kuzaliwa China na ukiwa mchina, sasa hivi ungekuwa bize na kujenga madaraja au kutengeneza, Tv au ubunifu wowote, sasa umezaliwa Tanzania ndo maana una hizo Imani za asubuhi,mchana na usiku kwenda kumsifu Mohamed. Huwezi kunielewa sababu akili yako 98% imeshashikiliwa na dini ya waarabu.
 
Me nadhani ndugu zangu mnaoshikamana na imani ya kiislam ni wakati sasa wa kuwaumbua na kujitenga mbali na hawa wanavikundi vya wavuta misokoto ya bangi kwa kutumia kurasa za Quran takatifu.

Nina walaumu kwanza ninyi sababu ninyi wenyewe hampo mstari wa mbele kukemea jambo ambalo linadhalilisha imani yenu ila bado inapotokea iman zingine zimakemea ninyi ndio mtakuja juu juu kama moto wa gesi.

Kimsingi ukikalia kimya jambo maana au tafasiri yake ni kuwa unaliunga mkono na halikupi shida.

Ugaidi si uislamu ila upo ugaidi ambao unajishikisha na uislamu kwa watu kutumia dini kujipatia fedha, rasilimali, mamlaka na kadhalika. Why mnawachekea hawa why hakuna maandiko, waraka au makemeo ya kuwaumbua?

Mbona mnaandika sana kumhusu mnyama kitimoto kumponda mbona hamuandiki maandiko marefu kuhusu tabia mbaya ya hawa wahalifu wanaotumia uislam kama chaka la uovu wao?

Hebu mjitathimini na kujitafakari. Haya mambo yakomeshwe.
 
Muarabu+Uislam=UGAIDI.
 
Si sahihi, uislamu unakataza kwenda kinyume na amri za Mungu, mtume na serikali yenye mamlaka kutoka kwa wananchi, yeyote anayefanya uhuni kwa kisingizio cha uislamu huyo ana personal interest na hicho anachokifanya, kuhusu baadhi ya ayah za quran zilizoamrisha kupigana ziliteremka madina zenyewe zililenga kuwapa ruhusa waislamu wa wakati huo kujihami na kulipa kisasi kwa maovu waliyofanyiwa pasipo na sababu za msingi kutoka kwa watu wa Makkah ambao walikuwa waabudu masanamu wenye chuki binafsi dhidi ya muhammad na wafuasi wake, na ndio maana kwa sasa hakuna nchi ya kiislamu inayolingania kwenye jihad kwa sababu waislamu wa dunia ya leo wako mbali na manyanyaso kutoka kwa wasio waislamu, lakini tumeshuhudia matukio kadhaa ya kibaguzi dhidi ya uislamu wakati huo huo viongozi wa mataifa mengi ya kiislamu wameishia kulaani kwa maneno na sio mapigano kwa sababu kwa sasa hakuna hoja ya msingi ya kupigana, kinachoendelea gaza na Israel ni vita ya uhuru wa kitaifa na maslahi ya kisiasa, kadhalika katika maeneo mengine duniani kuna makundi yanayozozana kimaslahi na si kidini.

Uislamu unaamrisha amani na upendo kwenye jamii.
Uislamu na ugaidi ni sawa na mtoto na uji
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…