Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mada za kipuuzi na kizushi zipo nyingi sana, tusiwe wabaguzi kwakua maslahi yetu yameguswa.Jf si kichaka cha upuuzi na uzushi.
Kwa wengine mada yenye uzushi itafungwa tu. Lkn ktk kundi hili linalosambaza taarifa ya kiintelijensia bandia hapa jf ni kichaka chao na wanahidhiwa kifua.
Si vema hata kidogo kwa maslahi ya taifa
Ningeshangaa usinge-commentUpo ndani hya Jf halafu unashangaa ikitajwa?
Pole sana ndugu yangu.Nilipoishi Tanga ndipo nilipoufahamu uislamu na waislamu vizuri kwa kifupi tu shetani au shetwani ibilisi ana hisa kwenye hiyo dini ya uislamu
Pale Arusha waislamu walilipua kusanyiko la kanisa katoliki na watu wakafa ulisikia kiongozi yeyote wa kiislamu alikikemea
Hapo Kenya makundi kibao yenye mrengo wa kiislamu yameuwa watu. Somalia, Naijeria, Pakstan, Msumbiji, Sudan kwa Janjaweed.
Unawezaje kuutenganisha uislamu na ugaidi uliotukuka.
Ok. Taarifa zako yaonyesha ni za kichunguzi.Mohamed,
hoja yako ni nzuri. Ila Mimi ninapenda uislamu jinsi unavyokemea vitu, kama vile masuala ya ushoga, kutania haswa vinavyohusu masuala ya dini yao.
Huenda waandishi wanawafunganisha waislamu na magaidi au uislamu unajifunganisha na ugaidi.
Mwaka 2006 gazeti la jyllands posten nchini Denmark, lilichapisha katuni zenye michoro 12. Maimamu wawili waliopewa Makazi nchini humo kwa kukimbia nchi zao, wakiongozwa na Imam Ahmed akkari walianza kuzunguka nchi za kiislamu wakiomba kuungwa mkono na kuonyesha kile kilichochorwa katika gazeti huku vingine vikiwa vimeongezwa kukionekana kuna picha ya mtu mwenye ndevu nyingi akiwa na pua kama ya nguruwe.
Baada ya picha ile kusambaa maimamu walikuwa wakisema gazeti lile linaendeshwa na serikali ya denmark, hivyo wajitokeze kuomba msamaha. Serikali iligoma na kukanusha sababu Hawakuona kosa.
Kilochofata baada ya hapo, chuki ile ikasambaa makanisa yakanza kuchomwa, waandamanaji kutoka pakistan na indonesia wakachoma moto bendera ya Denmark wakaharibu makazi ya wakristo na makanisa.
Lakini baadae ikaja fahamika picha ile yenye mfanano na nguruwe ilikuwa ni kwa ajili ya mashidano yaliyokuwa yakiadaliwa.
Huko Nigeria wakristo walichomwa moto pamoja na jumbe zilizosema “Butcher those who mock islam” “behead those who say Islam is violent religion”
Haya ndio yaliyotokea lakini mwaka 2013 imam ahmed akkari alikuja kuomba msamaha akitambua umuhimu wa free speech.
Ndio maana nikasema hoja yako inaweza kuwa sahihi, lakini hatujawahi kusikia kupingwa kwa nguvu kwa hawa wanaojihusisha na ugaidi kwa mgongo wa uislamu.
Ni maslahi ya taifa. Ndio mana nimekuja na swali kupata experience. Kwasababu sisi kama waislam tuna uzoefu zinapojitokeza taarifa hizi siku chache zijazo linajitokeza wimbi la kamata kamata au tukio kubwa litakalonasibishwa na uislam. Kwa maana taarifa kama hizi zinajustofy plan iliyoandaliwaMada za kipuuzi na kizushi zipo nyingi sana, tusiwe wabaguzi kwakua maslahi yetu yameguswa.
Mohamed,Hivyo kusema waislam wa denmark walichoma makanisa ni uongo. Ukinambia walichoma moto bendera nitakukubalia.
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na UgaidiKuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi
Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.
Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.
Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.
Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.
Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.
Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.
Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.
Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.
Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.
Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.
Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.
Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.
Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.
Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.
Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.
Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.
Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.
Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.
Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.
Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.
Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.
Kwani taarifa sahihi anazo Azory.
Ni kweli ni Luka 19, mstari wa 27Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi
OkeyMbona hajatueleza jinsi uislamu unavyojitenga na ugaidi wala ugaidi unavyoambatana na uislamu hata kwa kulazimishai?Sijaona.Angeeleza jinsi magaidi wanavyobeba misalaba,ng'ombe au hata sanamu za Buddha.Au hata pengine hawajinasibishi na chochote ili atueleweshe vizuri.
Wewe uliyesoma nataka kujifunza.kinacho nichekesha waislamu wengi wanashinda kuelewa mafundisho yao yanapitia humo humo na kupandikiziwa wasicho kijua mfano wanaweza kumkubari mtu kuwashawishi bila kujua nafsi yake katumia mlengo wake.
View attachment 3006055
siju kama wanapenda kusoma na walishawai kujifunza kupitia kwa NAZI hii tabia ambayo sasa wanatumia kama NAZI
Umeleta taarifa mpya kabisa. Haifanani na taarifa yako ya awali.Mohamed,
Hapana sehemu nimesema haya.
Msome Richard Hawkins kwenye ukurasa wa deserved respect kaelezea hilo tukio kwa undani zaidi
Halafu utasoma na hapa chini.
Kuna mahala kama dini viongozi wanapaswa kutazama hili jambo kwa mapana. Sababu binafsi sijawahi kuona viongozi wakubwa wa dini wakitoka kukemea vitu hivi. Ndio maana nikasema huenda ni waandishi au dini ina uhusiano na ugaidi.
WAKIRISTO MTAPA SHIDA SANA NA UISLAM
Mnapenda kuishi kwa kushindana ndiyo maana you're looked down as inferior as trash.Ulimwengu unabadilika kila leo.Badilikeni.WAKIRISTO MTAPA SHIDA SANA NA UISLAM
Mohamed,Kwa ufupi waislam hawana kitu kinachoitwa uvumilivu wanapotukaniwa dini yao. Hili lieleweke. Na kama kukosa uvumilivu ni ugaidi sawa.
WAKIRISTO MTAPA SHIDA SANA NA UISLAM
Mnakuja na kila aina ya picha, lkn ukweli kwamba ukifa nje ya uislam wewe ni kuwateseka tu kaburini
Ulimwengu umebadilika. Jua linatoka Kusini linaenda kaskazini? Hakuna tena usiku? hakuna kula na kunywa? Watu wanakunya kwa mdomo? Kipi kimebadilika zamani hakipo?Mnapenda kuishi kwa kushindana ndiyo maana you're looked down as inferior as trash.Ulimwengu unabadilika kila leo.Badilikeni.