Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
Ndiyo kina nyinyi hao, weka ushahidi.

Chuki yenu kwa Uislam, isiyo na sababu, isipelekee kuwachukia wasiokuwa na hatia.
 
Imekuma meza wembe. You tube unayoipenda ipo na video tele za boko haram,isis
1728226604319.jpg

Ndiyo kina nyinyi hao, weka ushahidi.

Chuki yenu kwa Uislam, isiyo na sababu, isipelekee kuwachukia wasiokuwa na hatia.
 
Ndivyo ulivyoaminishwa na waandishi wenye chuki na Uislam?
Waislamu nyinyi ni magaidi na wauaji na kwa sasa hivi wanaowapa kichwa na vipesa ni Qatar
 
Laptop yangu iko mbali ningekuwekea video ya maghaidi wa Msumbiji wanauwa wanashangilia na kumtaja Allah na Mohammad S.W.
Kama mnaona ughaidi ni kitu kinachotia doa uislam basi acheni au waambieni waislam wenzenu waache kuutumia uislam au kumtaja mtume wenu wakiwa wanatenda unyama ule.
Hao wanaofanya hivyo wamefunza kutoka kwenye madrasa.
 
Huwezi kutenganisha Uislamu na ugaidi. Mwanzilishi wa dini hiyo alikuwa mtu katili na muuaji na hiyo roho ndio inaongoza uislamu. Hebu tafakari hii:
Mkristo akiwa very committed ktk imani yake anakuwa mlokole na anakuwa mtu mzuri ktk jamii. Muislamu kwa upande wake akiwa committed na dini yake anakuwa nani? Jibu anakuwa gaidi. Yupo tayari kuua mtu yeyote asiyekubaliana na dini yake na msimamo wake. Kwa hiyo tuwe wakweli tu ndugu zangu.
 
Mkiambiwa hamna akili mtaanza kubisha duniani angalia mataifa ya kiislam na yasiyo ya kiislam yapi mengi halaf ukaangalie mataifa yenye hali mbaya ya kiuchumi yapi kati ya hayo makafiri na washirikina mna matatizo
Poor nations in the world.
Afghanistan
Central africa
Yemen
Bangladesh
n.k, ebu nitajie taifa la kiislamu lililo hata G8. Waislamu watabaki kuwa maunderdog kwa wakristo hadi mwisho wa dunia
 
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.

Wako wanaofurahia propaganda hizo.

Wako wanaoamini propaganda hizo.

Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.

Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi


Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe ndio wanaojinasibisha na Uislam au ni waandishi wenziwao ndio wanaoufungamanisha Uislam na Ugaidi.

Mmoja wa waandishi hao ni AZORY. Hata hivyo alipotaka kutekeleza jukumu hilo alipotezwa na watu wasiojilikana. Kila mmoja unaelewa ni nani wasiojilikana kuwa ni watu waliosikiliza amri kutoka juu.

Hata hivyo limejitokeza akina Azory wa Bandia. Wameweza kukusanya uchunguzi na kuzungumzia ugaidi wa waislam.

Kundi hilo linauzungumzia ugaidi kwa ustadi zaidi ya waongoza muvi za BOLLYWOOD wa na wasimulia muvi wa kule tandale.

Cha ajabu wameyafanya yote na hatimae kuanza kusambaza kwenye mitandao.

Hata hivyo kikundi hiki kinafanya yote haya kama kwamba tz ni sehemu salama kwao kujificha kwa kutengeza na kusambaza uongo uliotengezwa huku wakikingiwa kifua.


Hata hivyo kwa nyakati kadhaa wakili Peter Madeleka ameitahadharisha jamii na hasa wanahabari kuandika taarifa za kiuchunguzi za uongo zinazopelekelea waislam kuteseka na kuumizwa na kunyang'anywa mali.

Angalia clip hii hasa kuanzia dkk ya 7

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=r6qSCzYwU5qL6llP


Waislam nchini wanaitahadharisha SERIKALI izingatia zaidi maslahi ya Taifa katika kuiendea na kuishughulikia dhana ya ugaidi nchini.

Kuna waandishi hao ambao jf inawalinda wameendelea kuandika makala zinazozungumzia ugaidi wa Waislamu nchini na kwa nchi za jirani.

Kuna waraka wenye anuani ya Njua ya Kibiti kwenda kwenye laana Cabo Delgado.

Moja ya suala linalojitokeza katika makala hiyo ni Uislamu na ugaidi, ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi lakini kwa hakika yeye (Mwandishi) ndiye anayehusisha Uislamu na Ugaidi.

Tunawashauri viongozi wazingatie zaidi maslahi ya Taifa katika suala hili la ugaidi, kwani sasa zimeanza kuibuka propaganda mpya za ugaidi zinazo wanasibisha Waislamu.

Tunaishauri serikali ifute kabisa sheria ya ugaidi na badala yake itumie shera ya uhalifu ambao ipo ili kuwapumzisha na kuwaondolea waislam wasiwasi wa operasheni zinazoibuka baada ya kuanza kwa propadanga hizi ili niweze kuhalalisha uovu wa baadhi ya watendaji wa serikali waovu, wavuta bangi waliopandikizwa chuki kupitia propaganda hizi dhidi ya Waislamu.

Tunaikumbusha Serikali kwamba, Taifa la Tanzania limejengwa juu misingi mitatu ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.

Na huu mpango mpya wa propaganda zenye uongo uliotengenezwa si ktk misingi sahihi ya kuendesha serikali.

Waraka huu umesomwa na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa kwa waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda.

Ameeleza kuwa mwaka 2002, wakati wa mchakato wa Sheria ya Ugaidi, Wabunge walisema maneno mazito Bungeni, na kufafanua kuwa Tanzania hakuna ugaidi na Sheria hiyo ya Ugaidi inawalenga zaidi raia Waislamu.

Akasema, hivi sasa matokeo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yanaonekana wazi kwani wanaokamatwa na kutuhumiwa kwa ugaidi wengi wao ni Masheikh na Waislamu wa kawaida.

Lakini la kusikitisha zaidi ni kwamba hata kesi zake mahakamani zinakwama kusikilizwa na Waislamu wakabaki wafungwa mahabusu wa muda mrefu.

Akizungumzia kuhusu makala hayo Sheikh Ponda, anasema ingawa mwandishi anadai kuwa magaidi ndio wanao husisha Dini ya Uislamu na ugaidi, lakini makala hiyo ipo wazi kuwa yeye ndiye anayehusisha Uislamu na ugaidi.

Akifafanua Sheikh Ponda, amesema Mwandishi wa Makala hiyo amewataja Waislamu wasomi wa Vyuo vya Kiislamu kama Magaidi huku Misikiti, Madrasa, Asasi kama vile vituo vya Yatima na Shule za Kiislamu amevitaja kuwa ni vituo vya Kigaidi.

Aidha amesema, katika makala yake hiyo ameyataja mataifa kadhaa aliyodai kuwa yanayoelekea kusambaratika kutokana na hicho alichokiita ni ugaidi.

Sheikh Ponda amemtanabahisha mwandishi huyo kuwa uandishi wake unatakiwa azingatie maamuzi yaliyotolewa na Mahakama kuhusu suala hili zito linalohusu uhai wa watu na mustakbali wa Taifa, badala ya kuja na uchambuzi wa taarifa bandia za Intelijensia.

Kwani taarifa sahihi anazo Azory.

Sio waislamu wote ni magaidi,ila magaidi wote ni waislamu.
 
Duh aisee mara hii unawakana hamas walioshangilia kuua na mkawa mnalia wanaonewa kisa dini yao leo unasema ile ni lugha tu hivyo hawawahusu dadadeeekiiii

Kama mwijaku kaweza kufika kule hao magaidi wapo kule wa kutosha ila ndo vile hawawezi ua ndugu zao katika imani.
Magaidi yanaua hata ndugu zao katika imani,alshababu somalia wanachinja haijarishi umemeza juzuu ngapi.

Uislamu na ugaidi ni chupi na tako.
 
Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
############
Mohamed Abubakar

Tuongee kwa fact. Kuna watu ktk maisha yao hapa Tanzania wamekuja kujua kuna Uislamu na waislam baada ya kufika Dar. Wengine wanefika mbali zaidi na kwenda kuishi Zanzibar.

Swali ni je waislam mulioweza kuishi nao kuongea nao hapa Dar, Tanga, Zanzibar wanafanana hata kidogo na hao waislam magaidi ukicompare na ndugu zenu kule chuga, Katoro, serengeti, sumbawanga ambako kila leo watu wanadondoshwa kwa radi. Wapi hasa wana roho za kigaidi
Niambie bara sehemu gani walizuia ujenzi wakanisa,uislamu ni ugaidi na ukafiri,hii dini haibebeki inatengeneza mazombie
 

Attachments

  • Screenshot_20241020_195141_Google.jpg
    Screenshot_20241020_195141_Google.jpg
    386 KB · Views: 3
Azory alienda sehemu hatari,kibiti haikua mahali sahihi kwake,hivyo safisha safisha ilimkumba vibaya Anyway mkuu kuna video nyingi tu magaidi wakiua wanataja miungu yao ya kiislam je nao wanakua wamekaririshwa kuchafua dini ama?
Hiyo safisha safisha ilimkumbaje mpaka mwili wake usipatikane!
 
Kwa hiyo watakaoiona pepo.ni.waislam tuuu eeeeeeeeh.Wakati mwingine usiwe unaruhusu watu kuuona ujinga wako.Ni Fedheha.Ungezaliwa China kwa mujibu wako unekuwa condemned to hell?Puuzi kabisa wewe
Hivi hakuna wachina Waislamu au Wachina Wakristo?
 
Back
Top Bottom