Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

Je ikotokea Mtikisiko wa Uchumi au vita
Je Fedha zitakuwa na Usalama kweli ?
Iwapo vita itakuwa kubwa na ikavuruga shughuli zote za uchumi, usalama kwa hakika utakuwa wa mashaka. Lakini biashara zote pia zitaathiriki. Hii ndio risk mojawapo ya uwekezaji huu, ambayo yamkini ya kutokea hapa Tz ni ndogo. Hakuna uwekezaji ulio salama dhidi ya vita.
 
Vipi kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Pesa , je Uwekazaji huu utaathirika ?
 
Vipi kuhusu Kushuka kwa Thamani ya Pesa , je Uwekazaji huu utaathirika ?
Inategemeana ushukaji wenyewe. Interest rate za mifuko ya utt ziko around 12 -14% per annum. Iwapo kushuka thamani ya pesa kutazidi rate hiyo ni wazi kutakuwa na athari hasi.

Lakini ukiacha biashara, mahali pekee pa riba rafiki zaidi ni hatifungani za serikali na vipande vya utt.
 

Nikihitaji kufanya hivi nafanyaje mkuu?? Mfuko mmoja gawio la mwezi kuingia kwenye mfuko mwingine??
 
Nikihitaji kufanya hivi nafanyaje mkuu?? Mfuko mmoja gawio la mwezi kuingia kwenye mfuko mwingine??

last week nilikuwa UTT saa hv wamebadili hawana tena optional ya kuchukua pesa kwenye account ya mtu kila mwezi automaticaly, inabidi ukipata gawio basi wewe mwenyewe ndo ununue vipande vya huo mfuko mwingine, UTT automaticaly hawata peleka gawio kwenye mfuko mwingine..
 
Kuna option inaitwa re purchase unaweza ukahamisha vipande kwenda kwa mtu yeyote unaemtaka kwa mfuko husika.
 

Wameondoa kitu kizuri sana sijui kwanini??
 
Wameondoa kitu kizuri sana sijui kwanini??
nafikiri ni issue za kibank... so cha kufanya unaweza ukawaambia bank yako kuwa kila mwezi wa deposit kias flan kwenye account ya UTT, uzuri kila mfuko un aaccount yake. so automaticaly bank yako wakiwa wana deposit kias watakuwa wanaoneysha jina lako na UTT watajua kuwa ni mfuko gani.... nashauri tumia CRDB... sababu CRDB ni custodian wa UTT... na pia ni agent wa kuuza vipande vya UTT>. so itakuwa rahisi kwa kutumia CRDB kuliko bank zingine
 
Kuna option inaitwa re purchase unaweza ukahamisha vipande kwenda kwa mtu yeyote unaemtaka kwa mfuko husika.
yeah lakini maan ayake hiyo inabid uwe unaifanya kila mwez.. na shida ni kuwa hiyo option ni unauza au unahamisha vipande..

mdau alitaka kujua kuwa kama gawio la kila mwdz anaweza akaligeuza kwa kununulia vipande kwenye mfuko mwingine.. mfano gawio la bond fund UTT wawe wanalinunulia vipande labda vya jikimu au ukwasi badala ya yeye kuwa anatafuta pesa ingine kununulia vipande.. yaani kama anapata gawio la laki moja kila mwez basi automaticaly linakwenda kununua vipande mfuko mwingine. so mfuko mmoja unatunisha mtaji wa mfuko mwingine
 
Loo kwakweli watu wangekuwa wanaijua utt vzr mabenk yangefungwa.
Kweli Mkuu.

Ni hasara kwa mtu kuwa na kiasi kisichotumika kwa miezi kadhaa katika savings account (au katika fixed deposit za chini ya 11% interest rate) benki, wakati Liquid ya utt ipo.

Iwapo una fedha Savings hutazitumia karibuni, mfano katika miezi miwili/ mitatu ijayo. zitoe uziweke Liquid, ili zikuzalishie chochote kabla hujazitumia.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu...Sasa kulingana na rate za kununua na kuuza, naona Umoja fund inaweza kuwa nzuri.

Nini comment yako kwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…