Dit000
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 710
- 1,041
mkuu mfuko wa liquid fund sina uzoefu nao, unaweza kunielezea jinsi unavyofanya kazi? Na ni mzuri kuzidi bond fund? Hauna masuala ya kupanda na kushukaa kwa hela Yako?Fanya mkuu, nunua gvt bond na pia weka liquid fund au bond fund. kwa sasa percent za gvt bonds za miaka 20 na 25 hazitofautiani na percent za liquid fund na bond fund.Brokers wanashauri kuwekeza UTT Liquid fund na bond fund . Hii mifuko more than 90% zinawekeza kwenye hati fungani 10% wanawekeza kwingine sio kwenye hisa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nipe tips za mfuko wa liquid fund.
Asante.