Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Naona mbamba nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kambaya alihamia Chadema baada ya kufukuzwa CUFNa kambaya amenunuliwa shs ngapi na Chadema?
Heche anapisha kwani si wanahubiria demokrasia , Kuna wengine wenye uwezo mkubwa kuliko huyo Heche.kwani yeye ndiye amezaliwa awe mbunge pekee. Tarime huwa inatoa Ajira bila upendeleoHilo jimbo Tayari lipo mikononi mwa Heche....Kayafa ltd waendereyee na maandalizi ya KUFUNGASHA
waitara ni kondom iliyotumika kwa sasa hana dili kama huamin jibu utalipata 2025.Na kambaya amenunuliwa shs ngapi na Chadema?
Hivi kwann uwa mnaamini sana kwa watu walioshindwa,Chadema nzima hakuna mwingine zaidi ya heche au ni kufia madarakani kama mbowe?Hilo jimbo Tayari lipo mikononi mwa Heche....Kayafa ltd waendereyee na maandalizi ya KUFUNGASHA
Na kambaya amenunuliwa shs ngapi na Chadema?
Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.
Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole.
Anadai Chadema wamepita jimboni "wakamtwanga vilivyo" na anadai kwamba Mkuu wa Mkoa alim-fix akaenda kuongea kwa wananchi kwamba watashirikishwa, lakini alipotega mgongo, serikali ikamtupa mkono. Amekuwa akiendesha vita ya "msituni" dhidi ya viongozi wa serikali, bila shaka anapata wakati mgumu katika ubunge wake.
Waitara ni moja ya wabunge walionunuliwa katika mnada wa hadhara ili ajiunge CCM enzi ya jiwe, kwa Sasa haoni pa kwenda, labda ACT Wazalendo, ni kama CCM wanamtema kimtindo.
Baadhi ya wanaomfahamu, wameshauri atafute dereva na asiwe anatembea peke yake, anaweza kupata ajali kubwa sana kutokana na msongo wa mawazo kuelekea 2025.
Usijal Ukikua utaacha..ni utoto ndio sababu.Dah, nikiona Mwanaume anatoa Machozi naumia sana aisee.. this is so deep...@magu aliwaponza wengi
28 March 2023
Tarime, Tanzania
WANANCHI WAGOMEA ZOEZI, MKUU WA MKOA WA MARA AWA MBOGO "MTAKE MSITAKE ZOEZI LITAKAMILIKA" AMLAUMU MBUNGE MWITA WAITARA NA MWENYEKITI WA CCM TARIME
Zoezi la kuweka beacon kuonesha mpaka lafanyika chini RC Major General Suleiman Mzee na viongozi wa serikali ya CCM mkoa wa Mara.
Wananchi wazira hivyo kutotokea kushuhudia zoezi la mipaka lililoorodheshwa katika gazeti la serikali GN Govt Notice iliyotolewa na kuchapishwa mwaka 1968 yaani miaka karibu 54 iliyopita.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.Waitara anadai ametelekezwa. Kwa kweli wengi walifanya maamuzi kwa mihemko. Leo wamebaki kulia. Bado kina Silinde na yule Petrobas katambi.
Kuna clip ya bunge niliona anamwambia waziri akawaambie wanchi kuhusu kupata mamlaka ya mji mdogo hawana pesa wakati kisheria kata zimekidhi vigezo badala awatetee wananchi wapate iliyo halali yao yy anawachonganishaNi dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.