Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.

Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole...
Hofu ya CDM miaka 2 kabla ya uchaguzi, CHADEMA hoyeeeeeee!
 
Siyo Waitara tu sema wale woote waliofanya usaliti kwa kupewa vipande vya manemane na Jiwe wote hao wahesabu maumivu.
 
Back
Top Bottom