Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

Hilo jimbo Tayari lipo mikononi mwa Heche....Kayafa ltd waendereyee na maandalizi ya KUFUNGASHA
Heche anapisha kwani si wanahubiria demokrasia , Kuna wengine wenye uwezo mkubwa kuliko huyo Heche.kwani yeye ndiye amezaliwa awe mbunge pekee. Tarime huwa inatoa Ajira bila upendeleo
 
28 March 2023
Tarime, Tanzania

WANANCHI WAGOMEA ZOEZI, MKUU WA MKOA WA MARA AWA MBOGO "MTAKE MSITAKE ZOEZI LITAKAMILIKA" AMLAUMU MBUNGE MWITA WAITARA NA MWENYEKITI WA CCM TARIME

Zoezi la kuweka beacon kuonesha mpaka lafanyika chini RC Major General Suleiman Mzee na viongozi wa serikali ya CCM mkoa wa Mara.

Wananchi wazira hivyo kutotokea kushuhudia zoezi la mipaka lililoorodheshwa katika gazeti la serikali GN Govt Notice iliyotolewa na kuchapishwa mwaka 1968 yaani miaka karibu 54 iliyopita.
 
Hilo jimbo Tayari lipo mikononi mwa Heche....Kayafa ltd waendereyee na maandalizi ya KUFUNGASHA
Hivi kwann uwa mnaamini sana kwa watu walioshindwa,Chadema nzima hakuna mwingine zaidi ya heche au ni kufia madarakani kama mbowe?
 

Karma is real. Leo waitara analia Kama mtoto. Aisee!
 
Waitara anadai ametelekezwa. Kwa kweli wengi walifanya maamuzi kwa mihemko. Leo wamebaki kulia. Bado kina Silinde na yule Petrobas katambi.
 
Apunguze matumizi ya pombe kali.
 
Naona waitara analeta u po inzani ndani ya ccm,akichinganisha wananchi na serikali!
 
Waitara anadai ametelekezwa. Kwa kweli wengi walifanya maamuzi kwa mihemko. Leo wamebaki kulia. Bado kina Silinde na yule Petrobas katambi.
Mwitta Mwikabe Waitra hafai kwa lolote. Hana msimamo na ana tamaa ya madaraka. Ni msaliti Huyu Mwita Waitra amepata kuteuliwa kuwa Naibu Waziri kwenye Serikali ya Jiwe kama shukrani za Jiwe kwa kumsaliti Tundu Lissu. Akiwa Bungeni mnamo tarehe 7/ Septemba/ 2017 yeye ndiye alikuwa anawasiliana na Makonda kuhusu movement za Lissu toka Bungeni kwenda nyumbani kwake.
 
Kuna clip ya bunge niliona anamwambia waziri akawaambie wanchi kuhusu kupata mamlaka ya mji mdogo hawana pesa wakati kisheria kata zimekidhi vigezo badala awatetee wananchi wapate iliyo halali yao yy anawachonganisha
 
BWANA asema hivi,
Amelaaniwamtu yule
amtegemeaye mwanadamu,
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Na moyoni mwake
amemuacha BWANA
Yeremia 17:5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…