Je, ni mwanzo wa mwisho wa Mwita Waitara mbunge wa Tarime Vijijini?

Hofu ya CDM miaka 2 kabla ya uchaguzi, CHADEMA hoyeeeeeee!
 
Tayari hawa jamaa ni matajiri wakubwa hawana njaa hawa. Hata akiacha ubunge leo hatakuwa na dhiki labda ni ishu za ego tu!
 
Siyo Waitara tu sema wale woote waliofanya usaliti kwa kupewa vipande vya manemane na Jiwe wote hao wahesabu maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…