Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Huyu dada watu wanamchukilia powa but she is so so good
Huyu dada shida wengi humu hawamjui na wanamchukulia easy ila ni bonge la rnb singer si kitoto mfano sikiliza songs zake kama BE MY BABY, CAN'T LIVE WITHOUT U, WHEN U BELIEVE verse ya kwanza, TOUCH MY BODY Daaa!! Sio poa πŸ™πŸ™πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuna moja amepiga collabo na bone and thugs damnn ni fire sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…