Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

Toni braxton
Je upi ni wimbo wako bora toka kwa Toni braxton
1730821031620.png
 
Kuna moja amepiga collabo na bone and thugs damnn ni fire sana
Huyu dada shida wengi humu hawamjui na wanamchukulia easy ila ni bonge la rnb singer si kitoto mfano sikiliza songs zake kama BE MY BABY, CAN'T LIVE WITHOUT U, WHEN U BELIEVE verse ya kwanza, TOUCH MY BODY Daaa!! Sio poa 🙏🙏🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom