My allTaja japo wimbo wake mmoja, Ambao unaweza kurudia kuusikiliza zaidi ya mara moja kwa siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My allTaja japo wimbo wake mmoja, Ambao unaweza kurudia kuusikiliza zaidi ya mara moja kwa siku.
Huyu dada watu wanamchukilia powa but she is so so goodMaria carey huyu anamfaa
Spanish GuitarJe upi ni wimbo wako bora toka kwa Toni braxton
View attachment 3144422
I dont want to nasikiliza hapaJe upi ni wimbo wako bora toka kwa Toni braxton
View attachment 3144422
Tony Braxton _ Please.I dont want to nasikiliza hapa
I give my all to have just one more night with you..My all
Tony Braxton naipenda zaidi nyimbo yake 'How could an Angel break my heartTony Braxton _ Please.
Kaimba wimbo gani?Minie Tipton ndio Legend wao alikua anaimba 5 octave range,
Yule mwanamama alikua balaa nadhani hata Whitney ndie aliyekua Role Model wake!
NakaziaItoshe kusema R.I.P
Huyu dada shida wengi humu hawamjui na wanamchukulia easy ila ni bonge la rnb singer si kitoto mfano sikiliza songs zake kama BE MY BABY, CAN'T LIVE WITHOUT U, WHEN U BELIEVE verse ya kwanza, TOUCH MY BODY Daaa!! Sio poa 🙏🙏🔥🔥🔥Huyu dada watu wanamchukilia powa but she is so so good
Huyu dada shida wengi humu hawamjui na wanamchukulia easy ila ni bonge la rnb singer si kitoto mfano sikiliza songs zake kama BE MY BABY, CAN'T LIVE WITHOUT U, WHEN U BELIEVE verse ya kwanza, TOUCH MY BODY Daaa!! Sio poa 🙏🙏🔥🔥🔥
Go google madam 😁Kaimba wimbo gani?
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali.
Unachotakiwa kufanya:
- Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja.
Video: Whitney Houston - I Look to You
View: https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8