Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

Sawa sawa
 
Sawa sawa, nia yake ilijificha sana kwakweli tunashkuru umeibua kwa ukubwa
 
Pengine iko hivyo lakini hapendi Wanasheria wamsaidie huwa anataka ajisaidie mwenyewe hii inashangaza sana hata Wanasheria wengine wenye mapenzi mema naye, si sahihi mtu kuamini anaweza kila jambo mengine ni ya kusaidiwa
Kiukweli huyu jamaa ana kipaji cha ajabu cha sheria si unaona alikuwa anapangua kesi kwa kujitetea mwenyewe na alivyokuwa anawabaragaza mashahidi upande wa mashitaka?
Aligundua angeweka mawakili wengine wasinge perform kama yeye.
Vipaji havitengenezwi na binadamu vinashushwa na MUNGU.ila binadamu anachoweza tu ni kung'arisha kipaji ambacho MUNGU alishampa.
Huyu jamaa alishakwenda Africa kusini kupangua Kesi ya ZUMA
 
Hatare sana kama Sheria ipo kwenye damu
 
Pakome anaakili ya uwanjani ni matumaini yangu kuwa hata kwenye siasa na maslahi ya watu awe hivyo hivyo.Pale inapokuwa kinyume chake bora ubadili jina ili kutokuishusha brand.
 
Pakome anaakili ya uwanjani ni matumaini yangu kuwa hata kwenye siasa na maslahi ya watu awe hivyo hivyo.Pale inapokuwa kinyume chake bora ubadili jina ili kutokuishusha brand.
Usiogope, kuna jambo tunataka kujifunza hapa kwasababu kuna idadi ya Wanachama wa CHADEMA wanalalamika kukosa nafasi za ubunge, wanahitaji ufafanuzi wa kina kwasababu wanamlaumu sana Lissu
 
Chadema waliondolewa rasmi katika siasa na Magufuli aliyeapa kuifuta,

Akatimiza 2019 serikali za mitaa, ikafuatia 2020, ikafuatia 2024 serikali za mitaa na kisha 2025.

Bisha tena mkuu.
 
Mbona swali la kitoto hata mwanamke anaweza kukujibu jibu ni MBOWE
 
Chadema waliondolewa rasmi katika siasa na Magufuli aliyeapa kuifuta,

Akatimiza 2019 serikali za mitaa, ikafuatia 2020, ikafuatia 2024 serikali za mitaa na kisha 2025.

Bisha tena mkuu.
Sawa sawa nimekuelewa vizuri
 
Akili za CCM,aliyeharibu Chadema ni yule asiyekubali tume huru ya uchaguzi sababu anaogopa kushindwa
 

Mimi napenda CCM
 
Ki
Kichwa cha habari tu kinakuonyesha kwamba, wewe ni mbumbumbu na mjinga,

Kwa akili zako hizi za kijinga, huna uwezo wa kuuliza mambo makubwa na ya msingi kama haya na hata ukiambiwa huwezi elewa

Wanywa damu nyie
 
Ki

Kichwa cha habari tu kinsonyesha kwamba, wewe ni mbumbu na mjonga,

Kwa akili zako hizi za kijinga, huna uwezo wa kuuliza mambo makubwa na ya msingi kama haya

Wanywa damu nyie
Wanachama wa CHADEMA wanalalamika kukosa nafasi za Ubunge wanadai Lissu ndiye chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…