Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

Tueleweshe
Ueleweshwe nini wewe mburula? Umeambiwa CHADEMA imepigwa pini kila mahali lakini bado mnaweweseka. Na kitendo cha kuua watanganyika ccm ndio imeshajizika kabisa. Ipo madarakani kwa mtutu wa bunduki.
 
Ninyi ccm mmeshashinda uchaguzi ( Kwa kuiba lakini) tulieni sasa kuleni bata achaneni na Chadema.

Sasa hivi mjue wananchi wanaelewa sana Kila kinachoendelea. Lissu mmemuweka ndani na kuzuia Chadema kushiriki uchaguzi je hao wanachama wa Chadema wa kupelekwa bungeni na Lissu wangetoka wapi?
MNATIA HASIRA SANA
 
Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi

CHADEMA inajiua yenyewe kwa kiasi kikubwa hapa ndipo tatizo lilipo

Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi

Mbowe alitambua hili na ndiyo sababu ya kujenga CHADEMA badala ya kuua Chama

Mbowe alizalisha viongozi wengi na wakubwa sana akiwemo Lissu anayejivunia leo kuwa kiongozi wa CHADEMA

Lissu baada ya kukabidhiwa wadhifa wa kiongozi mkuu wa CHADEMA hali ilibadilika sana

Kwanza aliwaeleza Wanachama wake kuwa wale wote wanaotaka kuwa Wabunge wasahau hilo

Kauli hiyo haikuishia hapo pasipo matendo, badala yake alitenda na kuhakikisha hakuna Mwanachama aliyepata nafasi ya Ubunge

Lengo la hoja hii nikutaka CHADEMA ijisahihishe makosa yake na sio kudhihaki

Nalazimika kutumia lugha kali kwasababu hata CHADEMA ni wakali vilevile

Namna nzuri ya kuzungumza nao ni ile ya kukabana koo na kuchaniana mashati
Mnatumia nguvuuuuuuuu sanaa inaboa sana na hizi nyuzii zenu za ki wakiii

Kuna mambo mengi ya kuandika wewe ukila mapera na nsungwii Kila mudaa unaanza washwa washwa mara chadema ivii mara vile

Kwanini mliogopa reforms mkaweka pamba yaani HAJI MANARA AWE REFA KWENYE MECHI YA YANGA?!!
YOU'RE TOO NAIVE
 
Maswali mazuri kwa machawa Watanzania sasa wanawaelewa Chadema. Kama hawa malaya Bungeni ndiyo unawaita wabunge hongera zako
 
Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi

CHADEMA inajiua yenyewe kwa kiasi kikubwa hapa ndipo tatizo lilipo

Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi

Mbowe alitambua hili na ndiyo sababu ya kujenga CHADEMA badala ya kuua Chama

Mbowe alizalisha viongozi wengi na wakubwa sana akiwemo Lissu anayejivunia leo kuwa kiongozi wa CHADEMA

Lissu baada ya kukabidhiwa wadhifa wa kiongozi mkuu wa CHADEMA hali ilibadilika sana

Kwanza aliwaeleza Wanachama wake kuwa wale wote wanaotaka kuwa Wabunge wasahau hilo

Kauli hiyo haikuishia hapo pasipo matendo, badala yake alitenda na kuhakikisha hakuna Mwanachama aliyepata nafasi ya Ubunge

Lengo la hoja hii nikutaka CHADEMA ijisahihishe makosa yake na sio kudhihaki

Nalazimika kutumia lugha kali kwasababu hata CHADEMA ni wakali vilevile

Namna nzuri ya kuzungumza nao ni ile ya kukabana koo na kuchaniana mashati
Point ni kwamba chadema ya lisu haihitaji kuwa chama kikuu cha upinzani kinahitaji kushika dola kabisa
 
Mnatumia nguvuuuuuuuu sanaa inaboa sana na hizi nyuzii zenu za ki wakiii

Kuna mambo mengi ya kuandika wewe ukila mapera na nsungwii Kila mudaa unaanza washwa washwa mara chadema ivii mara vile

Kwanini mliogopa reforms mkaweka pamba yaani HAJI MANARA AWE REFA KWENYE MECHI YA YANGA?!!
YOU'RE TOO NAIVE
Wanaomlaumu na Lissu ni wanachama wa Chadema waliokosa Ubunge ndiyo sababu ya uzi huu kurushwa hapa
 
Twende kwa hoja Mr CHADEMA
Kama cdm ni kuwa chama bora basi ni sasa. Hakuna kitu kinafanya taasisi kuwa imara kama kujitoa muhanga. Kwa aina ya siasa za Mbowe, angeishia kupewa wabunge wa hisani, na kwa aina ya chaguzi zetu zilivyokuwa zinaenda, hata hao wabunge wa hisani wasingepatikana.

Cdm chini ya Lisu imeamua kuachana na siasa za maridhiano uchwara, na kusimamia haki. Kupitia NRNE heshima kwenye box la kura itarejea, katiba mpya itapatokana taka wasitake. Cdm wamefanikiwa kurejesha ujasiri kwa wananchi. Kwa sasa hivi ccm wameshaingia kwenye panic mode. Na uchaguzi wa 2030 hatutaona tena huu upuuzi wa kuengua wapinzani hasa cdm, na sehemu kubwa washindi wa kweli ndio watatangazwa, na hapo ndio cdm itafahamika ukuu wake. Chini ya Mbowe cdm ilikuwa inaenda kuwa mtori.
 
Ewaa
 
Wanaomlaumu na Lissu ni wanachama wa Chadema waliokosa Ubunge ndiyo sababu ya uzi huu kurushwa hapa

..Wanachadema wanaomlaumu TL hawaoni kilichowatokea wenzao waliokimbilia Chauma, au waliogombea kupitia ACT?
 
Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi

CHADEMA inajiua yenyewe kwa kiasi kikubwa hapa ndipo tatizo lilipo

Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi

Mbowe alitambua hili na ndiyo sababu ya kujenga CHADEMA badala ya kuua Chama

Mbowe alizalisha viongozi wengi na wakubwa sana akiwemo Lissu anayejivunia leo kuwa kiongozi wa CHADEMA

Lissu baada ya kukabidhiwa wadhifa wa kiongozi mkuu wa CHADEMA hali ilibadilika sana

Kwanza aliwaeleza Wanachama wake kuwa wale wote wanaotaka kuwa Wabunge wasahau hilo

Kauli hiyo haikuishia hapo pasipo matendo, badala yake alitenda na kuhakikisha hakuna Mwanachama aliyepata nafasi ya Ubunge

Lengo la hoja hii nikutaka CHADEMA ijisahihishe makosa yake na sio kudhihaki

Nalazimika kutumia lugha kali kwasababu hata CHADEMA ni wakali vilevile

Namna nzuri ya kuzungumza nao ni ile ya kukabana koo na kuchaniana mashati
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
..Wanachadema wanaomlaumu TL hawaoni kilichowatokea wenzao waliokimbilia Chauma, au waliogombea kupitia ACT?
Walikokimbilia kumewashinda wanataka kurudi nyumbani wakidai aliyewakimbiza ni Lissu
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Sawa sawa
 
Pengine iko hivyo lakini hapendi Wanasheria wamsaidie huwa anataka ajisaidie mwenyewe hii inashangaza sana hata Wanasheria wengine wenye mapenzi mema naye, si sahihi mtu kuamini anaweza kila jambo mengine ni ya kusaidiwa
Wamsaidie ili kesi ichukue muda mrefu, kwa taarifa yako kwenye ile kesi angeacha hao wanasheria wamsaidie kesi ingechukua muda mrefu, jambo lililokuwa linatakiwa sana na serekali. Ila kwa kujitetea mweyewe kamaliza kazi mapema na kwa ufasaha. Na katika hii kesi Lisu ameonyesha ni kwa kiwanvo gani anaifahamu sheria kuliko hao majaji, na amefanikiwa kudhibitisha pasipo kuacha shaka kuwa mahakama inatumika na serekali. Yaani sisi wenye spirit ya cdm, Lisu kafanikiwa kuirudisha cdm yetu kabla ya Mbowe kumleta Lowassa na kuinajisi cdm.
 
Back
Top Bottom