Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

Wanaomlaumu na Lissu ni wanachama wa Chadema waliokosa Ubunge ndiyo sababu ya uzi huu kurushwa hapa
Cdm inaweza kupata urais, ubunge na udiwani kwa kura halali za wananchi, sio hizo za hisani ya dola. Wanaotaka ubunge kwa hisani ya ccm waende kwenye vyama project. Uchaguzi ujao cdm itaset standard ya viongozi kupatikana kwa ridhaa ya umma. Na katika hiki kilichotokea uchaguzi huu, cdm ndio kimeibuka shujaa na kubeba imani ya wananchi.
 
Hakuna mwana chadema aliyeshiriki huo uouuzi mnaita uchaguzi sasa walikosaje ubunge? Hatuwezi kujadili matamanio yako ya kutamani Chadema ife.
Wanasema walitaka lakini Lissu akawa kikwazo
 
Cdm inaweza kupata urais, ubunge na udiwani kwa kura halali za wananchi, sio hizo za hisani ya dola. Wanaotaka ubunge kwa hisani ya ccm waende kwenye vyama project. Uchaguzi ujao cdm itaset standard ya viongozi kupatikana kwa ridhaa ya umma. Na katika hiki kilichotokea uchaguzi huu, cdm ndio kimeibuka shujaa na kubeba imani ya wananchi.
Sawa, nitakuja na uzi wa walichosema CCM hivi karibuni kupitia Wasira kisha mtoe maoni yenu
 
NimeDislike kabisa yaani.

Baada ya kuuliza swali na ukajijibu mwenyewe tena kwa kuponda angle mojawapo!.
 
Sawa, nitakuja na uzi wa walichosema CCM hivi karibuni kupitia Wasira kisha mtoe maoni yenu
Acha alichosema Wassira, njoo na hata alichosema Samia kabisa. Huyo Wassira alisema cdm itakufa 2014, ila ccm ni nguvu za dola pekee zimebaki kuficha aibu ya ccm kushindwa na cdm. Na umwagika tu wa damu ndio utaifanya ccm iendelee kukaa madarakani dhidi ya cdm.
 
Sawa sawa
 
Wanasema walitaka lakini Lissu akawa kikwazo
Wewe wasema , maamuzi ya kutaka reforms kabla ya kufanyika uchaguzi hayakuletwa na Lissu bali yaliwa maamuzi ya Chama. Mbona mnatapa tapa sana tumewaachia mumejiingiza madarakani kwa nja haramu, mumeua makumi ya maelfu ya Watanganyika ili mumtawaze Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika, mkajitangazia ushindi wa 97% bado hamjaridhika tu mnahangaika na Chadema? Malizeni fukuto linalofukuta huko kwenu hadi mumeanza kuuana, achaneni na Chadema ni next level. Mtu huanza kufagia aliposimama, CCM inateketea mdogo mdogo hilo hulioni.
 
Sawa sawa, uzi ujao utakuonesha chanzo na reforms kufeli na yapi madhara yake
 
Wanachama wa CHADEMA wanalalamika kukosa nafasi za Ubunge wanadai Lissu ndiye chanzo
Hao wangeenda kwenye project ya ccm na Mbowe ambayo ni Chauma. Cdm ya sasa haikutaka tena siasa za hewala bwana, hizo zilizikwa na utawala wa Mbowe.
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom