Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,483
Reaction score
11,691
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
 
Mkono wa mtume ni msafi na umetakaswa.
 
Warumi 14
11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.

Mbele za Mungu kila kiumbe huoaswa kunyenyekea hata awe ni Rais...
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.

na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.

ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.

uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??

Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. W
Kumshika mtu kuna sura nyingi hebu weka picha tuone nyuso zao tutoe majibu
 
kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.

na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.

ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.

uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??

Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
Dah! Anyway basi
 
Lakini mbona Peter wa Royal tour naye alimshika
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya
Ni sahihi .pia yey siyo wa kwanza ata kwa trump imesha tokea pia
 
Mmechanganya vyeo na mambo ya Imani aisee kwani akishikwa mabega kuna shida gani baadae mtakuja kusema kuna clip inasambaa ya Mkuu wa Nchi akicheza na wajukuu zake wanamrukia rukia ni kosa kwenye katiba yenu udumavu ni tatizo kubwa sana Nchi hii aisee..
 
IMG-20250706-WA0021.jpg

Back
Top Bottom