DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Kwani Lucas Mwashambwa anasemaje?
Acha stori za Abunuasi. Hawa watu wamefikiria mara 100 !? zaidi ya kutumia vitisho na nguvu. Ni ujinga wa hali ya juu kufikiria kumdhuru Rais hadharani, tena kwa kumsogelea kiasi kile. Hakuna akili yoyote iliyotumika hapo.kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.
na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.
ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.
uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??
Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
Mbona akienda kwa waganga anachanjwa chale???Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Ndiyo! Kwa Jina Kuu la Yesu Kristu aliye hai hilo halina shidaNa yeye ameombewa Kwa jina la Yesu?
mbele ya MUNGU hizo title ni worthless;-Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Sisi wote ni binadamu ila ila tunatofautiana na tofauti zetu ndo zinatupangia itifaki ya namna ya kuishiNyie mnamchukulia Rais Kama sio binadamu.
That's is mental slaverySisi wote ni binadamu ila ila tunatofautiana na tofauti zetu ndo zinatupangia itifaki ya namna ya kuishi
Je, kama na yeye Mwamposa ameishakuwa mtu wa sistim unafikiri anaweza kumdhuru rais wakati ameapa?Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Kazi ipo😂😂😂😂😂😂😂Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Hapo umenena kiongozi! Possibly ni hiviJe, kama na yeye Mwamposa ameishakuwa mtu wa sistim unafikiri anaweza kumdhuru rais wakati ameapa?
Mwamposa alikosa yule mkalimani wake wa siku zote?
Kama ni sahihi kiongozi wa nchi kusujudu kwa kuweka goti na kichwa chini ndivyo ilivyo kuwekewa mkono begani. Akina cheka tu na wachezaji wa simba hadi walilala begani kwake sembuse kuwekewa mkono wa maombi.Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Mwambopa ni DAB na DAB ni MwambosaHata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Kushikwa kichwa na Tapeli la kidini raha sanaIngekuwa ni mimi Mwamposa ningemwambia akajizamishe na kuibuka pale koko bichi mara 7,Kama Naamani mkuu wa Majeshi.