Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Kusalimiana kwa kushikana mikono ni salama ila kuligusa bega si salama!
 
Ikumbukwe huyu bwana kuna watu akiwaombea wakati yanawatoka mambo mabaya wanarukaruka na kugalagala kwa hiyo ilibidi aregulate kiasi cha maombi yake ili scenario kama hizo zisitokee.
Mavi
 
SIONI SHIDA YOYOTE MKUU RAIS NAE NI BINADAMU ANAWEZA KUPANDISHA HATA MAPEPO MKUU
Na kama hajayapandisha nina wasiwasi na huo "upako" wa mwamposa maana tunafahamu waislamu ubatizo wao ni kumilikishwa Jini. Hivyo Jini haliwezi kutulia mahali Yesu anatajwa kiuhalali.
 
Hakuna Yesu pale Siri za pale zikimwagwa hutoamini unachoambiwa
 
kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.

na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.

ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.

uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??

Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
Watu kama nyie tunawahitaji sana mtusaidie kazi..
Kiufupi mkuu umeongea fact sna naweza sema we jamaa ni mtu wa kitengo au kama sio wa kitengo basi ni mstaafu..

Naomba leo ukutane na huyu jama ditective j kwa muongozo zaidi mkuu
 
SIONI SHIDA YOYOTE MKUU RAIS NAE NI BINADAMU ANAWEZA KUPANDISHA HATA MAPEPO MKUU
Ndo risk yenyewe hii! Vipi hili lingetokea mbele ya umati wote ule hali ingethibitiwa vipi. Ila yawezekana Mtume ana namna ya kucontrol power yake kwa pale isingefika hatua hii
 
Watu kama nyie tunawahitaji sana mtusaidie kazi..
Kiufupi mkuu umeongea fact sna naweza sema we jamaa ni mtu wa kitengo au kama sio wa kitengo basi ni mstaafu..

Naomba leo ukutane na huyu jama ditective j kwa muongozo zaidi mkuu
Kitengo gani cha kucheza ngoma na kukata mauno Ikulu au?
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais

Waliomruhusu mwamposa kumsogelea rais wetu bila sababu za msingi ndiyo tuna kesi nao. Wanatakiwa kujibu. Kwani mwamposa akimuombea kwa mbali Mungu wa Mbinguni hasikii? Hatutaki, hatutaki, hatutaki kuona tena hao wana dini wakimsogelea rais wetu bila sababu za maana. Mbona sisi wote tunamuombea rais wetu na nchi yetu kwa ujumla Mwenyezi Mungu wetu ana sikia (hapa nimekosea kutaja hili maana maombi na dua ni siri kati ya mimi na Muumba wangu). Nimalizie kwa kusema iwe mwanzo na mwisho kuwaruhusu hao waombazi kumgusa rais wetu. Wawe wakiomba huko waliko na hata wakiwa hapo wasimsogelee maana Mwenyezi Mungu yeye husikia maombi kokote kule uliko
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Taasisi ya urais imenajisiwa na rais mwenyewe kwa kumbabika Tundu Lissu kesi ya uhaini. Mwacheni ashikwe mabega kuna kitu anakitafuta kutoka kwa tapeli Mwamposa
 
Kitengo gani cha kucheza ngoma na kukata mauno Ikulu au?
Bahati nzuri location yako hapa nishaiona.
IMG_20250706_103551.jpg

Sasa mkuu nataka utuelekeze hiko kitengo cha kukata mauno deep zaidi sawa

La si hvyo kafute utumbo wako juu kule
 
Back
Top Bottom