Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Imani ni zaidi ya vyote
 
Nkuhungu sitokuja kwa sasa na hata sitokutaarifu ila tambua baada ya siku kuu hizi za sabasaba utaonesha kitengo cha kukata viuno
Kamtishe Bibi yako kule Kijijini kwenu sio mimi, halafu nakupa tag kinoma kukujibu unaandika mashudu umesema nipo Nkuhungu njoo Nkuhungu wewe si wa kitengo na huyo mwenzio mnaogopa nini? Msijipe mamlaka yasiyowahusu mnafanya impersonation hamjui kua ni kosa kisheria? Utafungwa pimbi wewe
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Acha chuki,unaweza kusikia mama naye kaokoka,sasa hapo napo utalaumu....
 
Umekosa kazi ya kufanya au? Nenda kaendelee kupiga marimba halafu ungenijua vizuri nadhani ungeishia hapohapo wala usingeendeleea kujibizana na mimi, huna kazi ya kufanya?
Sio mda utajuta hiki unachoandika...
 
Umekosa kazi ya kufanya au? Nenda kaendelee kupiga marimba halafu ungenijua vizuri nadhani ungeishia hapohapo wala usingeendeleea kujibizana na mimi, huna kazi ya kufanya?
Kazi yangu utaijua soon as possible mkuu...
Kingine tuu hapa kila nikifatilia naona kabisa ujaanza leo kumbe
 
Siyo kitu kizuri. Hatukatai maombi, lkn si ya kumgusa. Huo utaratibu wa maombi usiendelee. Binafsi nimeumia sana. Maana hakuna sababu ya kufanya hivyo ilhali Mwenyezi Mungu husikia sala maombi na dua zetu tukiwa popote pale. Hata Yona alivyokuwa katika tumbo la samaki alisokiwa
Exellent point! Kiongozi wetu aombewe na watu wote wenye mapenzi mema kwa kuwa ana majukumu mazito na muhimu ya kuongoza nchi (hii sio kazi rahisi in Jakaya Kikwete's voice) ila uombeaji usiwe wa kuonesha kumzoea
 
Kamtishe Bibi yako kule Kijijini kwenu sio mimi, halafu nakupa tag kinoma kukujibu unaandika mashudu umesema nipo Nkuhungu njoo Nkuhungu wewe si wa kitengo na huyo mwenzio mnaogopa nini? Msijipe mamlaka yasiyowahusu mnafanya impersonation hamjui kua ni kosa kisheria? Utafungwa pimbi wewe
Mi bibi yangu hayupo kijijini mkuu
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
hapo tahadhari zote zilikuwa zishachukuliwa
 
Back
Top Bottom