BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Nadhani swali sahihi lingekuwa, ni sahihi mke wa mtu kuombewa kashikwa mabega na mchungaji mwanamme?
Mkuu,Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Boss hoja ilihusu Rais kama Mkuu wa taasisi sensitive ya Urais ambaye usalama wake ni muhimu kwa watanzania wote na sio kama mama wa familia yakeNadhani swali sahihi lingekuwa, ni sahihi mke wa mtu kuombewa kashikwa mabega na mchungaji mwanamme?
Nasikia alimshika na ***** sema hiyo clip ilifutwaLakini mbona Peter wa Royal tour naye alimshika
Kwangu nadhani akialikwa na muda ukaruhusu anaweza kwenda kufungua au kufanya shughuli yoyote kwenye dhehebu au dini yoyote hata kwa wasio na dini kama anavyoenda kwenye gatherings za machief so kwa hapo na kwa kiongozi wetu hakuna shida. Hoja hii itakuwa na nguvu ikitokea kiongozi achague dhehebu flani tu alafu imani zingine azitengeMkuu,
Si sahihi kwa kiongozi wa nchi isiyofuata dini yoyote kufungua kanisa.
Hii ni violation ya kanuni muhimu ya Separation of Religion and State.
Tuanzie hapo kwanza.
Anaweza kwenda lakini huo ndio mwanzo wa kuchanganya dini na siasa.Kwangu nadhani akialikwa na muda ukaruhusu anaweza kwenda kufungua au kufanya shughuli yoyote kwenye dhehebu au dini yoyote hata kwa wasio na dini kama anavyoenda kwenye gatherings za machief so kwa hapo na kwa kiongozi wetu hakuna shida. Hoja hii itakuwa na nguvu ikitokea kiongozi achague dhehebu flani tu alafu imani zingine azitenge
Acha uwongo weka picha tujiridhisheKuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.