Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Njoo hapa Nkuhungu utanikuta
Muongozo unasema sio mimi mwenye mamlaka ya kuja huko...
Kila mtu ana kazi yake..
Wewe kazi yako ni kuonesha ni vipi watu wanapiga marimba . Mda wako ukifika wa kuonesha watu wanavyocheza marimba utafuatwa

Nakusihi kuwa mpole haya ni mazungumzo ya amani mkuu
 
Kawaida tu hiyo mkuu! Ondoa hisia kwamba kwa kuwa ni mke wa mtu hairuhusiwi kushikwa bega! Hapo ni special case ya kuombewa harafu na mazingira ni hadharani tena ni kanisani.
Hata hivyo huenda Mwamposa ni mtu wa system!
Hata huko kwa wenzetu rais anaombewa kwa kushikwa mabega!
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    11.2 KB · Views: 16
Mmetaka apewe baraka na Mwamposa kapewa mnaanza maneno! Sasa hiyo ni style ya Mwamposa kushika bega, jee kama angekuwa yule wa Kenya tunaye muona anatumbukiza mkono kunako ili kuombea tungesemaje kwa hiyo style?
Mbarikiwa mwenyewe haja lalamika iweje wewe uanze maneno?
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Ni sahihi kabisa kabisa kuombewa hata kama ungekuwa mfalme wa Dunia au wewe unaonaje namana hata huna uelewa wowote
 
Labda kama anayemuombea na yeye ni mwanausalama. Ila trump alifanyiwa zaidi ya hii. Ni vitu vya kawaida
images (10).jpeg
 
Angekuwa Nabii kweli mwombewaji angepandisha mashetani. Maana sio kwa utekaji huu
 
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.

Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.

Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Katika mambo ya kiroho Urais unawekwa pembeni.Kila goti litapigwa
 
Hata angekuwa mjamzito ungetaka wakunga wasimsogelee au.protocal ilizngatiwa ndiomana walio chelewa kuingia kabla ya rais walizuiwa nje.
Nae ni binadamu anahitaji faraja kama kukumbatiwa pia.
Mwamposa yuko kwenye uzinduzi wa kampuni yake unafikiri anaweza kukubali kutumika kwa kumdhuru siku ambayo anafungua biashara yake kubwa?
Kwanini humuofii akiwa anahutubia kwa muda mrefu hujui anaweza kupaliwa na akafa,au kupoteza nguvu na kuanguka jukwaani.
 
Lazima ni tick October aiseh!!

Kama ameombewa bas ni chaguo la Mungu Kwa Tanzania!!
 
Back
Top Bottom