AI noma, nani kakwambia mimi nipo huko? Ndio labda yupo kitengo cha kukata mauno km sio hicho basi kitengo cha kupiga ngoma na matarumbeta unakataa nini?Bahati nzuri location yako hapa nishaiona.
View attachment 3396120
Sasa mkuu nataka utuelekeze hiko kitengo cha kukata mauno deep zaidi sawa
La si hvyo kafute utumbo wako juu kule
Atataga tena yaan mpaka kwa tapeli katia timu sio poa hivi hakuambiwa kua yule mwamba ni tapeli yeye kajaa kichwa kichwa tuMama anahangaika maskini mara kwa waganga mara kwa shehe, mara Mwamposa huu mwaka mpaka atataga yai
Oky sasa hapo nkuhungu boda kusikufanye ukajiona wewe ndio wewe..AI noma, nani kakwambia mimi nipo huko? Ndio labda yupo kitengo cha kukata mauno km sio hicho basi kitengo cha kupiga ngoma na matarumbeta unakataa nini?
Dah yn mtoa mada alivyoandika cjui nikawaza vp kuhusu kushikwa bega, Mbona hapo kawaida tuu au mtoa mada alitakaje 😂
Hahaha haya njoo unichukue basi mzee wa kitengo cha kupiga malimbaOky sasa hapo nkuhungu boda kusikufanye ukajiona wewe ndio wewe..
Mkuu futa ujinga wako bado tunakufatilia..
Kiufupi nitakusaka
Wewe pimbi mdogo hata unisake vipi mimi hunipati tafuta kazi ya kufanya kenge mdogo wewe achana na mimi, stupidMkuu futa ujinga wako bado tunakufatilia..
Kiufupi nitakusaka
Sipigi marimba mimi mkuu acha mambo yako khaaa 😂😂😂😂 sasa marimba hapo yameingiaje..Hahaha haya njoo unichukue basi mzee wa kitengo cha kupiga malimba
Sio kukusaka..Wewe pimbi mdogo hata unisake vipi mimi hunipati tafuta kazi ya kufanya kenge mdogo wewe achana na mimi, stupid
Kamtishie nyau mama yako kule sio mimi, kwanza ulishapata kazi au bado unatafuta connection?Sio kukusaka..
Tushakupata ila kuna mambo tunahakikisha tuu na utakuja badili ID yako si mda
Njoo Nkuhungu hapa nakusubiria kwa hamu mkuu utasema unatokea uelekeo ganiSipigi marimba mimi mkuu acha mambo yako khaaa 😂😂😂😂 sasa marimba hapo yameingiaje..
Zero zero nakuahidi utakuja na id nyingine hapa ngoja saba saba ipite...Kamtishie nyau mama yako kule sio mimi, kwanza ulishapata kazi au bado unatafuta connection?
naunga hoja mkonoUnashangaa kushikwa mabega kwanza alitakiwa apige magoti
Nkuhungu sitokuja kwa sasa na hata sitokutaarifu ila tambua baada ya siku kuu hizi za sabasaba utaonesha kitengo cha kukata viunoNjoo Nkuhungu hapa nakusubiria kwa hamu mkuu utasema unatokea uelekeo gani
Swadakta kabisa! Naunga mkono hoja. Aombewe kama kila mtanzania mwenye mapenzi mema anavyomwombea ila mambo ya msingi yazingatiweWaliomruhusu mwamposa kumsogelea rais wetu bila sababu za msingi ndiyo tuna kesi nao. Wanatakiwa kujibu. Kwani mwamposa akimuombea kwa mbali Mungu wa Mbinguni hasikii? Hatutaki, hatutaki, hatutaki kuona tena hao wana dini wakimsogelea rais wetu bila sababu za maana. Mbona sisi wote tunamuombea rais wetu na nchi yetu kwa ujumla Mwenyezi Mungu wetu ana sikia (hapa nimekosea kutaja hili maana maombi na dua ni siri kati ya mimi na Muumba wangu). Nimalizie kwa kusema iwe mwanzo na mwisho kuwaruhusu hao waombazi kumgusa rais wetu. Wawe wakiomba huko waliko na hata wakiwa hapo wasimsogelee maana Mwenyezi Mungu yeye husikia maombi kokote kule uliko
Umekosa kazi ya kufanya au? Nenda kaendelee kupiga marimba halafu ungenijua vizuri nadhani ungeishia hapohapo wala usingeendeleea kujibizana na mimi, huna kazi ya kufanya?Zero zero nakuahidi utakuja na id nyingine hapa ngoja saba saba ipite...
Kuwa bize na mambo ya sabasaba kusikufanye wewe uanze kusema vyombo vya ulinzi vibaya..
Nakusaka
Alimshika sehemu gan?Lakini mbona Peter wa Royal tour naye alimshika
PopoteAlimshika sehemu gan?