Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Mkono wa mtume ni msafi na umetakaswa.Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Warumi 14
11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu.
kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Kumshika mtu kuna sura nyingi hebu weka picha tuone nyuso zao tutoe majibuKuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. W
Dah! Anyway basikiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.
na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.
ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.
uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??
Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
Sheikh aliyekuwemo humo anasemaje?Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Ni sahihi .pia yey siyo wa kwanza ata kwa trump imesha tokea piaKuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya