Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

Sasa wewe umekutana na mdada, unasubiri hadi muoane kumbe mwenzio anafanya mapenzi na Mirinda huku. Anakusubiri, siku mnaoana unakuta K imetawanyika kama kisosa cha kupakulia wali me yangu tupeane tu raha mpka siku ya ndoa,, kuepusha mengine
 
Haya mambo yana utamu wake ila yanakuwa machungu pale mwanamke anapokuwa na ujauzito

Pale ndipo utata unapoanzia especially mwanaume kama hajajipanga kimaisha bado anaishi nyumbani
 
Kwa bahati mbaya ndio wanafanya sasa. Wanaokuwa kwenye wakati mgumu zaidi ni wale waliojipa kiapo nafsini mwao cha kutofanya hadi ndoa na wakati huo huo ndoa wanazitaka na wanaotaka kuingia nao ndoani hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Wengine wanakagua kizazi,wengine wanakagua ukubwa wa maumbile nyeti,yaani full fujo.
 
Kama unataka ndoa yenye baraka nyingi zaidi basi usijaribu. Na ni vyema ukampa nafasi Mwenyezi MUNGU katika hatua zote za kuingia kwenye ndoa
 
Sasa wewe umekutana na mdada, unasubiri hadi muoane kumbe mwenzio anafanya mapenzi na Mirinda huku. Anakusubiri, siku mnaoana unakuta K imetawanyika kama kisosa cha kupakulia wali me yangu tupeane tu raha mpka siku ya ndoa,, kuepusha mengine
Papuchi kama kisosa? Aisee😂😂😂😂
 
Microphone yenyewe inajaribiwa kabla ya kutumika
 
Liking itatokana na your sweetness, structure, relativity, handling/mnyumbuliko, unavyoongea, unavyotembea, unavyo handle mazungumzo na ki recover kutokana na maudhi, reaction after the fact nakadhalika. Hebu tujaribu
But testing haitakiwi kuwa ya kwanza, ni baada ya kupenda hivyo vyote ulivovisema hapo👆 tests ni mwishowe baada ya kupendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…