Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Hahaaaaaa mbona unaninyima raha. Wewe unaangalia niniAah basi i wish uanze kupenda ongea na si ladha kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa mbona unaninyima raha. Wewe unaangalia niniAah basi i wish uanze kupenda ongea na si ladha kwanza
Ahsantee ila mtuwenyewe ndiyo hutaki kuoa aarh , ningesema tutest then tuoane ila ndiyo hivo tena😂Nimekupenda buree.
#YNWA
Wakati mwingine uko na mtu wako unasema ngoja nimsubirie nisimtumie... kumbe kumbe anapeleka papuchi kwa wahuni wanachakata.. mf mm nilikuwa na mmoja tukakubaliana asome amelize ndio alikuwa anaingia form one.. mtoto wa watu hata form 4 aliishia 3 mhuni akampa mimba akala kona kwenye familia yetu wakajua mm ndio nimefanya.. ila akaja waambia ukweli... sasa hv kaolewa na msela mwingine ila shule ndio iliishia hapo.Kinachoskitsha zaid imekuwa kama n destur au utamaduni, na pia imeondoa uaminifu baina ya wanandoa maana unayemtest ukamuacha atakuja mwngne atamst na kumuoa n rahs sana mwanaume huyu kuamini kuwa mkewe anatoka nje na maex wake hata kama s kweli.
N vle tu hawajawah kujua athar za kukutana kimwli kabla ya ndoa, wadada wameanza kutumika tangu wakiwa na miaka 14 huko vjana nao ndo usiseme wamekubuhu. Hii n mbaya na inamadhara.....
Nimekosaa bahati mie.Ahsantee ila mtuwenyewe ndiyo hutaki kuoa aarh , ningesema tutest then tuoane ila ndiyo hivo tena😂
Siku ukibadilisha maamuzi nicheki tu🤪 jokeNimekosaa bahati mie.
#YNWA
Kiukweli mimi ntatest , maana kile kiapo ni hadi kifo kitakapotutenganisha, sasa huna dudu hadi kifo wee si kutafutiana kesi huko[emoji23]
Ila hapo kutest zaidi ya mmoja ndiyo siyo vizuri kweli
Yes bora nitest test hadi apatikane, kuliko kuuziwa mbuzi kwenye gunia😂 kile kiapo cha hadi kifo kitutenganishe ndiyo kinachoogopesha mkuu[emoji28]
Jmn Sasa si ukikuta havielewek unatest na kwa mwingine mpaka apatikane
Naangalia upendo kwanza kama ntapenda ongea yako nk sawa, kutest ni baada yaHahaaaaaa mbona unaninyima raha. Wewe unaangalia nini
Hahaaa, sitaki
Babe wangu una roho ndogo kama korosho, be strong kuchapiwa ni siri ya ndani😂😂Kama hivi sasa ndio naenda hospl
We utaniuwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji22]
Kwa hiyo tuingie kwenye kipindi Cha mpito,miezi kama 6 hivi tutestiane haswaa mpaka zitoke checheNaangalia upendo kwanza kama ntapenda ongea yako nk sawa, kutest ni baada ya
INAHITAJI UVUMILIVU WA KIWANGO CHA STANDARD GAUGE KUHUSIANA NA KUTOKUONJANA KABLA YA NDOA... KIPAJI HIKO AISEE
Babe wangu una roho ndogo kama korosho, be strong kuchapiwa ni siri ya ndani[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutest muhimu, kama hana dudu je ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe umekutana na mdada, unasubiri hadi muoane kumbe mwenzio anafanya mapenzi na Mirinda huku. Anakusubiri, siku mnaoana unakuta K imetawanyika kama kisosa cha kupakulia wali me yangu tupeane tu raha mpka siku ya ndoa,, kuepusha mengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujaribu ni lazima mkuu....
Kuna mtu humu hakujaribu amekuja kulalamika kuwa mkewe hataki mapenz mchana,,, na usiku lazima kuwe na giza...
Na hakumkuta bikira hehehehe...
Zingatia hili,,, hakikisha umejaribu kabla hujaoa... Kula mzigo kila style.