Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

Wakati mwingine uko na mtu wako unasema ngoja nimsubirie nisimtumie... kumbe kumbe anapeleka papuchi kwa wahuni wanachakata.. mf mm nilikuwa na mmoja tukakubaliana asome amelize ndio alikuwa anaingia form one.. mtoto wa watu hata form 4 aliishia 3 mhuni akampa mimba akala kona kwenye familia yetu wakajua mm ndio nimefanya.. ila akaja waambia ukweli... sasa hv kaolewa na msela mwingine ila shule ndio iliishia hapo.
 
Kiukweli mimi ntatest , maana kile kiapo ni hadi kifo kitakapotutenganisha, sasa huna dudu hadi kifo wee si kutafutiana kesi huko[emoji23]

Ila hapo kutest zaidi ya mmoja ndiyo siyo vizuri kweli

[emoji28]
Jmn Sasa si ukikuta havielewek unatest na kwa mwingine mpaka apatikane
 
Mkuu ni namna roho za giza zifanyavyo kazi siku hizi...kwa maana uasherati umeaminishwa kuwa kitu sahihi...kumbe si sahihi kufanya mapenzi kabla ya ndoa.

kwa upande wangu jambo niombalo kila siku ni mungu aniepushe na zinaa..si kwamba sijawahi teleza ila sihitaji kuteleza tena kwa dhambi ya kujitakia kabisa.

so tuikimbie zinaa wakuu ( mithali 6:32)
 
Kujaribu ni lazima mkuu....

Kuna mtu humu hakujaribu amekuja kulalamika kuwa mkewe hataki mapenz mchana,,, na usiku lazima kuwe na giza...

Na hakumkuta bikira hehehehe...

Zingatia hili,,, hakikisha umejaribu kabla hujaoa... Kula mzigo kila style.
 
Sasa wewe umekutana na mdada, unasubiri hadi muoane kumbe mwenzio anafanya mapenzi na Mirinda huku. Anakusubiri, siku mnaoana unakuta K imetawanyika kama kisosa cha kupakulia wali me yangu tupeane tu raha mpka siku ya ndoa,, kuepusha mengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…