Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Uko sahihi, ila nahisi kama atatumia nauli yake au atakopa itakuwa ni ishara ya uhitaji wa kazi.Inategemeana na unamhitaji kwa kiasi gani. Sioni kama ni tatizo kumlipia nauli ikiwa atakuwa na msalahi mapana na ya muda mrefu kwako. What is nauli?
Ingekuwa namuamisha kituo changu cha kazi, kutoka kimoja kwenda kingine hapo ni sawa.Waajiri wengi hamzingatii labour standards, mnawa treat binadamu wenzenu very unafairly. Sijui ni uchoyo au nini
Ufafanuzi tafadhaliNi sa hihi kabisa
Unapomuajiri mtu unapaswa kumlipa hela ya nauli.Ingekuwa namuamisha kituo changu cha kazi, kutoka kimoja kwenda kingine hapo ni sawa.
Na hiki ndicho nilichomuambiaUmesema
katika pita pita zako mtandaoni et?
Mpaka unaomba ushauri hapa inaonekana una wasiwasi na huyo kijana
Kuna mawili pengine hana kweli nauli au anataka kukutapeli
Mwambie aazime nauli sehemu aki ripoti kazini pesa itarudishwa
Huku sekta binafsi haiko hivyo, ukishindwa kwenda atapatikana mwingineUnapomuajiri mtu unapaswa kumlipa hela ya nauli.
serikali inatoa nauli? imewai kushindwa kukulipa mshahara?Kama nauli kumlipia tu mtihani ,je unaweza hata kumpa chakula?
Mtu ata kazi hajaanza, utajuaje uzalishaji wake?Kama nauli kumlipia tu mtihani ,je unaweza hata kumpa chakula?
Uko sahihi, wengi hawaaminiki.Watu wa mtandaoni ni matapelo usikubali kumtumia hela mwambie akope akifika eneo la kazi hyo hela utaituma kwa muhusika
Au tafuta dereva wa gari linalofika site mpe oda ya kumleta Hadi eneo la kazi husika
Tena wengine wameajiriwa wanalalamika huku mitandaoni wana zaidi miezi 6 hawajalipwa posho zao.serikali inatoa nauli? imewai kushindwa kukulipa mshahara?
From your perspective inaweza kuwa sawa, but sometimes usiweke kutafuta logic sana kwenye haya mambo.Uko sahihi, ila nahisi kama atatumia nauli yake au atakopa itakuwa ni ishara ya uhitaji wa kazi.
Utapeli umekuwa mwingiDunia sasa hivi ni kuishi kimachale sana hujui nani wa kumwamini l!