Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Anasema hakopeshekiMkuu tumia hekima kama humuamini mwambie akope nauli akifika kituo cha kazi unamrudishia
Anasema hakopeshekiMkuu tumia hekima kama humuamini mwambie akope nauli akifika kituo cha kazi unamrudishia
Nakuelewa kiongozi, najaribu Ku draw a point kwa boss wetu equation X ajifunze kutazama mambo kwa jicho la kitanzania, ndio maana naona kuna haja ya yeye boss kusikiliza hitaji la kijana aliyemuajiri, hali zetu tunazijua wenyewe.Hizi ni case mbili tofauti: Moja, mtu ameomba kazi na wamekubaliana kuwa bosi karidhika na aina ya mtu husika. Kwa bahati mbaya, kibongobongo, hali zetu tunazijua. Either hakuwa kaajiriwa alikuwa jobless au kwa sababu anazojua yeye jana hio nauli ya kumfikisha working place. Hio inabaki kwenye huruma ya anayemwajiri. Nipo nikasema Humanity.
Kuhusu tarehe 40 ni mikataba husika. Sidhani kama ukipewa tarehe 40 bosi wako hawezi kukuonea Imani unapotingwa na jambo serious akakusaidia personally ukitoka suala la malipo na mshahara.
Kwa nini?Sema kimeumana.
Kazi ni kipimo cha utu
Yy kashindwa kukopa kwao uko. Kisha akifika kituo cha kazi arejeshe pesa.Kwa nini?
Sio ubinafsi. Amepewa kazi apambane aifuate. Yaani 90k unaona ndogo sio? Apambane kiume aripoti kaziniNauli bei gani paka utapeliwe? Nauli yenyewe ya basi, bora hata ingekuwa ndege! hata ingekuwa distance ya Dar to Mwanza nauli haizidi laki, sasa mtu ajichoreshe kukupa document zake kisa kukutapeli efu 80 au 90? Tumia akili acha ubinafsi
Inafikirisha sanaYy kashindwa kukopa kwao uko. Kisha akifika kituo cha kazi arejeshe pesa.
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu kama ana nia ya kazi atareport. Utapeli umekua mwingi now daysI am not surprised. Unachokisema upo 100% right na 100% wrong. Kwanini? Hatujui hali halisi ya mhusika financially au kijamii au hata kihistoria. Angalau ambaye anafahamu ni aliyehojiana naye.
Ushauri wangu it is both a win win situation kwa mtoa kazi, kama kweli anayo nia ya kumpa ajira pamoja na kumsaidia. Amkatie tiketi za basi online. Ni safe route.
Mimi nimeona matajiri wanapeleka wafanyakazi China au Dubai wanalipia gharama zote before hand. Unless jamaa haonekani kuwa potential kwa mwajiri. Ila kama ni mtu anamfaa nauli ni minor issue sana.
Kwa sababu utapeli umekuwa mwingi haimaanishi kila mara ni utapeli. Muda mwingine sio utapeli, au sivyo?Mkuu kama ana nia ya kazi atareport. Utapeli umekua mwingi now days
SafiiNa hiki ndicho nilichomuambia
Je huko serikalini, wanakutumia hela kabla hujaripoti kazini?Hata serikali wanatoaga hela ya kujikimu sasa unataka aende huko mkoani ambako pengine hana hata ndugu na ni mgeni bila balance yoyote?
Kama kweli ana nia ya kazi hawezi kosa nauli mkuuKwa sababu utapeli umekuwa mwingi haimaanishi kila mara ni utapeli. Muda mwingine sio utapeli, au sivyo?
Mlipie bhana au mkatie TiketiKatika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi.
Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate.
Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa mwingine.
Ndipo akanijulisha kuwa ana mke, na anajaribu kuangalia namna ya kumuacha.
Mi kwa sababu ni muelewa, nikamwambia kama inawezekana nenda naye tu kwa sababu sehemu ya kukaa si tatizo; Wote tukakubaliana.
Baada ya muda, akanijulisha yeye atangulie kwanza, nami nikamkubalia.
Baada ya dakika 15 kupita, ananiambia nauli sina, unanisaidiaje?
Sikumjibu, nikaona hayuko makini na kazi.
Je, wanamna hiyo, yuko sawa kudai nauli?
Sawa.Kama kweli ana nia ya kazi hawezi kosa nauli mkuu
Natafakari badoMlipie bhana au mkatie Tiketi
Mmmm kwa niniNatafakari bado
Wala nauli ni wengiMmmm kwa nini
Bwashee naomba kaziNi sa hihi kabisa