Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

Kama hili unalijua,kwanini umeanzisha huu uzi?

Kua na maamuzi yako,wewe kama wewe,usitegemee sana mitandaoni,huku utapata kila aina ya ushauri ila at the end,muamuzi ni wewe.
Kabla ya kufanya maamuzi binafsi, ni vizuri kusikiliza maoni ya wengine kwanza.
 
Watu wa mtandaoni ni matapelo usikubali kumtumia hela mwambie akope akifika eneo la kazi hyo hela utaituma kwa muhusika

Au tafuta dereva wa gari linalofika site mpe oda ya kumleta Hadi eneo la kazi husika
Excellent! Sio hivyo tu. Anaweza hata kumpatia tiketi directly. Sidhani kama mtu ambaye umeona atakuwa productive kwako unaweza mwacha apotee kwa sababu ya nauli.

Kama ishu ni kuokoa pesa ambayo anahisi itapotea anaweza mkatia tiketi moja kwa moja au option kama uliyoshauri.
 
From your perspective inaweza kuwa sawa, but sometimes usiweke kutafuta logic sana kwenye haya mambo.

Just humanity. Siamini mtu anaetaka kazi na kama umemfanyia intavyuu na akakidhi vigezo vyako anaweza kushindwa kuwaza option uliyoisema. It is rough out there - inaweza ikawa ndiyo chance yake kupata mishe. Hebu step back usiiangalie kama employer to employee. Iangalie kama human to human. Kinaweza kukawa na sababu nyingi zinazomfanya akuambie hivyo. Maoni yangu tu.
Nyie ni matapeli. Unawezaje mtumia mtu nauli ambaye humfahamu? Kama ana shida ya kazi atafute nauli
 
Sio sahihi. Auze kitanda apate nauli. Atatumia mshahara kurudisha kitanda chake. Usiingie kwenye mtego. Hao ni matapeli wapo kazini hiyo mbinu mpya
 
From your perspective inaweza kuwa sawa, but sometimes usiweke kutafuta logic sana kwenye haya mambo.

Just humanity. Siamini mtu anaetaka kazi na kama umemfanyia intavyuu na akakidhi vigezo vyako anaweza kushindwa kuwaza option uliyoisema. It is rough out there - inaweza ikawa ndiyo chance yake kupata mishe. Hebu step back usiiangalie kama employer to employee. Iangalie kama human to human. Kunaweza kukawa na sababu nyingi zinazomfanya akuambie hivyo. Maoni yangu tu.
Hiyo human to human ingekuwa inazingatiwa nadhani kusingekuwa na Mishahara ya tarehe 40 hasa Sekta binafsi
 
Sio sahihi. Auze kitanda apate nauli. Atatumia mshahara kurudisha kitanda chake. Usiingie kwenye mtego. Hao ni matapeli wapo kazini hiyo mbinu mpya
Ata mimi nimefikiria hivyo.
 
Nyie ni matapeli. Unawezaje mtumia mtu nauli ambaye humfahamu? Kama ana shida ya kazi atafute nauli
Nyie? Mimi na nani? You make me wonder.

Mleta uzi kaja kuomba ushauri kuhusu uamuzi gani afanye, mimi nimetoa maoni yangu. Wewe umekuja kusema 'sisi' matapeli!

Ipo hivi: Kuna options zaidi ya mia za kuliweka sawa. Mtu alikuwa anatafuta kazi, wamekutana wameulizana hadi kufikia hatua ya kukubaliana. Kama binadamu, kunao uwezekano wa mtu kukwama hata katika hela ndoto sana (ndio maana Mimi sishangai). Sasa sisi ku-propose kwamba jamaa anaweza kutumia hata option ya kumkatia tiketi ya basi mtandaoni tumekuwa matapeli.? Explain?
 
Huyo muomba kazi hana cha kupoteza. Kama kweli ana nia ya kazi afanye awezavyo kusafiri awasili kazini. Nje ya hapo, atabaki kuwa tapeli tu
 
Sio sahihi. Auze kitanda apate nauli. Atatumia mshahara kurudisha kitanda chake. Usiingie kwenye mtego. Hao ni matapeli wapo kazini hiyo mbinu mpya
Nauli bei gani paka utapeliwe? Nauli yenyewe ya basi, bora hata ingekuwa ndege! hata ingekuwa distance ya Dar to Mwanza nauli haizidi laki, sasa mtu ajichoreshe kukupa document zake kisa kukutapeli efu 80 au 90? Tumia akili acha ubinafsi
 
Kabla ya kufanya maamuzi binafsi, ni vizuri kusikiliza maoni ya wengine kwanza.
Hakuna maamuzi ya uhakika utakayo yapata hapa,
Wapo watakao kwambia mtumie tu nauli na wapo watakao kwambia usimtumie,
Ndio maana nikakwambia kua at the end muamuzi ni wewe mwenyewe,

Kuna vitu wala haihitaji kuuliza mitandaoni,kua na maamuzi wewe kama wewe,wapo matapeli mitandaoni na wapo watu waaminifu huko huko mitandaoni.
 
Hiyo human to human ingekuwa inazingatiwa nadhani kusingekuwa na Mishahara ya tarehe 40 hasa Sekta binafsi
Hizi ni case mbili tofauti: Moja, mtu ameomba kazi na wamekubaliana kuwa bosi karidhika na aina ya mtu husika. Kwa bahati mbaya, kibongobongo, hali zetu tunazijua. Either hakuwa kaajiriwa alikuwa jobless au kwa sababu anazojua yeye hana hio nauli ya kumfikisha working place. Hio inabaki kwenye huruma ya anayemwajiri. Ndipo nikasema Humanity.

Kuhusu tarehe 40 ni mikataba husika. Sidhani kama ukipewa tarehe 40 bosi wako hawezi kukuonea Imani unapotingwa na jambo serious akakusaidia personally ukitoa suala la malipo na mshahara.
 
Na yeye pia ni sehemu ya kupata kipato
Kipato shingapi ambacho hawezi kukipata pengine? Mishahara yenyewe ya laki tatu, laki nne kwa siku arobaini! Hata boda boda au bajaj anaweza kumake hiyo figure, mtu anakutengenezea million 50-100 afu unakuta unamlipa laki 2, yeye ndio unamtumia km daraja wewe kwenda juu, jifunze kuzingatia stahiki zake tangu mwanzo
 
Huyo muomba kazi hana cha kupoteza. Kama kweli ana nia ya kazi afanye awezavyo kusafiri awasili kazini. Nje ya hapo, atabaki kuwa tapeli tu
I am not surprised. Unachokisema upo 100% right na 100% wrong. Kwanini? Hatujui hali halisi ya mhusika financially au kijamii au hata kihistoria. Angalau ambaye anafahamu ni aliyehojiana naye.

Ushauri wangu it is both a win win situation kwa mtoa kazi, kama kweli anayo nia ya kumpa ajira pamoja na kumsaidia. Amkatie tiketi za basi online. Ni safe route.

Mimi nimeona matajiri wanapeleka wafanyakazi China au Dubai wanalipia gharama zote before hand. Unless jamaa haonekani kuwa potential kwa mwajiri. Ila kama ni mtu anamfaa nauli ni minor issue sana.
 
Back
Top Bottom