The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kama hili unalijua,kwanini umeanzisha huu uzi?ukishindwa kwenda atapatikana mwingine
Kabla ya kufanya maamuzi binafsi, ni vizuri kusikiliza maoni ya wengine kwanza.Kama hili unalijua,kwanini umeanzisha huu uzi?
Kua na maamuzi yako,wewe kama wewe,usitegemee sana mitandaoni,huku utapata kila aina ya ushauri ila at the end,muamuzi ni wewe.
Maboss wengi ubinafsi umewajaa, huwa wanataka kupata tu, hawanaga win-winWaajiri wengi hamzingatii labour standards, mnawa treat binadamu wenzenu very unafairly. Sijui ni uchoyo au nini
Excellent! Sio hivyo tu. Anaweza hata kumpatia tiketi directly. Sidhani kama mtu ambaye umeona atakuwa productive kwako unaweza mwacha apotee kwa sababu ya nauli.Watu wa mtandaoni ni matapelo usikubali kumtumia hela mwambie akope akifika eneo la kazi hyo hela utaituma kwa muhusika
Au tafuta dereva wa gari linalofika site mpe oda ya kumleta Hadi eneo la kazi husika
Nyie ni matapeli. Unawezaje mtumia mtu nauli ambaye humfahamu? Kama ana shida ya kazi atafute nauliFrom your perspective inaweza kuwa sawa, but sometimes usiweke kutafuta logic sana kwenye haya mambo.
Just humanity. Siamini mtu anaetaka kazi na kama umemfanyia intavyuu na akakidhi vigezo vyako anaweza kushindwa kuwaza option uliyoisema. It is rough out there - inaweza ikawa ndiyo chance yake kupata mishe. Hebu step back usiiangalie kama employer to employee. Iangalie kama human to human. Kinaweza kukawa na sababu nyingi zinazomfanya akuambie hivyo. Maoni yangu tu.
Ukiambiwa uripoti kazini baada ya usaili, huwa unaomba nauli?Maboss wengi ubinafsi umewajaa, huwa wanataka kupata tu, hawanaga win-win
Hiyo human to human ingekuwa inazingatiwa nadhani kusingekuwa na Mishahara ya tarehe 40 hasa Sekta binafsiFrom your perspective inaweza kuwa sawa, but sometimes usiweke kutafuta logic sana kwenye haya mambo.
Just humanity. Siamini mtu anaetaka kazi na kama umemfanyia intavyuu na akakidhi vigezo vyako anaweza kushindwa kuwaza option uliyoisema. It is rough out there - inaweza ikawa ndiyo chance yake kupata mishe. Hebu step back usiiangalie kama employer to employee. Iangalie kama human to human. Kunaweza kukawa na sababu nyingi zinazomfanya akuambie hivyo. Maoni yangu tu.
Ata mimi nimefikiria hivyo.Sio sahihi. Auze kitanda apate nauli. Atatumia mshahara kurudisha kitanda chake. Usiingie kwenye mtego. Hao ni matapeli wapo kazini hiyo mbinu mpya
Kwa case yake amekuambia hana, wewe ndio mtu wa kwanza inabidi umsaidie kwasababu anakuja kufanya kazi yakoUkiambiwa uripoti kazini baada ya usaili, huwa unaomba nauli?
Na ndicho kinachofuata,ajiandae kuhudumia mpk wapate mshahara wa kwanzaKama nauli kumlipia tu mtihani ,je unaweza hata kumpa chakula?
Nyie? Mimi na nani? You make me wonder.Nyie ni matapeli. Unawezaje mtumia mtu nauli ambaye humfahamu? Kama ana shida ya kazi atafute nauli
Na yeye pia ni sehemu ya kupata kipatoKwa case yake amekuambia hana, wewe ndio mtu wa kwanza inabidi umsaidie kwasababu anakuja kufanya kazi yako
Huyo muomba kazi hana cha kupoteza. Kama kweli ana nia ya kazi afanye awezavyo kusafiri awasili kazini. Nje ya hapo, atabaki kuwa tapeli tuNyie? Mimi na nani? You make me wonder.
Mleta uzi kaja kuomba ushauri kuhusu uamuzi gani afanye, mimi nimetoa maoni yangu. Wewe umekuja kusema 'sisi' matapeli!
Ipo hivi: Kuna options zaidi ya mia za kuliweka sawa. Mtu alikuwa anatafuta kazi, wamekutana wameulizana hadi kufikia hatua ya kukubaliana. Kama binadamu, kunao uwezekano wa mtu kukwama hata katika hela ndoto sana (ndio maana Mimi sishangai). Sasa sisi ku-propose kwamba jamaa anaweza kutumia hata option ya kumkatia tiketi ya basi mtandaoni tumekuwa matapeli.? Explain?
Nauli bei gani paka utapeliwe? Nauli yenyewe ya basi, bora hata ingekuwa ndege! hata ingekuwa distance ya Dar to Mwanza nauli haizidi laki, sasa mtu ajichoreshe kukupa document zake kisa kukutapeli efu 80 au 90? Tumia akili acha ubinafsiSio sahihi. Auze kitanda apate nauli. Atatumia mshahara kurudisha kitanda chake. Usiingie kwenye mtego. Hao ni matapeli wapo kazini hiyo mbinu mpya
Hakuna maamuzi ya uhakika utakayo yapata hapa,Kabla ya kufanya maamuzi binafsi, ni vizuri kusikiliza maoni ya wengine kwanza.
Hizi ni case mbili tofauti: Moja, mtu ameomba kazi na wamekubaliana kuwa bosi karidhika na aina ya mtu husika. Kwa bahati mbaya, kibongobongo, hali zetu tunazijua. Either hakuwa kaajiriwa alikuwa jobless au kwa sababu anazojua yeye hana hio nauli ya kumfikisha working place. Hio inabaki kwenye huruma ya anayemwajiri. Ndipo nikasema Humanity.Hiyo human to human ingekuwa inazingatiwa nadhani kusingekuwa na Mishahara ya tarehe 40 hasa Sekta binafsi
Kipato shingapi ambacho hawezi kukipata pengine? Mishahara yenyewe ya laki tatu, laki nne kwa siku arobaini! Hata boda boda au bajaj anaweza kumake hiyo figure, mtu anakutengenezea million 50-100 afu unakuta unamlipa laki 2, yeye ndio unamtumia km daraja wewe kwenda juu, jifunze kuzingatia stahiki zake tangu mwanzoNa yeye pia ni sehemu ya kupata kipato
I am not surprised. Unachokisema upo 100% right na 100% wrong. Kwanini? Hatujui hali halisi ya mhusika financially au kijamii au hata kihistoria. Angalau ambaye anafahamu ni aliyehojiana naye.Huyo muomba kazi hana cha kupoteza. Kama kweli ana nia ya kazi afanye awezavyo kusafiri awasili kazini. Nje ya hapo, atabaki kuwa tapeli tu