Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

Nakuelewa kiongozi, najaribu Ku draw a point kwa boss wetu equation X ajifunze kutazama mambo kwa jicho la kitanzania, ndio maana naona kuna haja ya yeye boss kusikiliza hitaji la kijana aliyemuajiri, hali zetu tunazijua wenyewe.

Kwa ishu ya Mishahara, mikataba mingi muda wa malipo huwa ni mwezi mmoja, Ila maboss hujikuta wana mambo mengi ikifika muda wa malipo, lengo ni kusogeza tarehe mbele paka zifike arobaini ili uzalishe zaidi ya anachokulipa, yaani km kupe akunyonye damu.
 
Nauli bei gani paka utapeliwe? Nauli yenyewe ya basi, bora hata ingekuwa ndege! hata ingekuwa distance ya Dar to Mwanza nauli haizidi laki, sasa mtu ajichoreshe kukupa document zake kisa kukutapeli efu 80 au 90? Tumia akili acha ubinafsi
Sio ubinafsi. Amepewa kazi apambane aifuate. Yaani 90k unaona ndogo sio? Apambane kiume aripoti kazini
 
Mkuu kama ana nia ya kazi atareport. Utapeli umekua mwingi now days
 
Hata serikali wanatoaga hela ya kujikimu sasa unataka aende huko mkoani ambako pengine hana hata ndugu na ni mgeni bila balance yoyote?
 
Hata serikali wanatoaga hela ya kujikimu sasa unataka aende huko mkoani ambako pengine hana hata ndugu na ni mgeni bila balance yoyote?
Je huko serikalini, wanakutumia hela kabla hujaripoti kazini?
 
Mlipie bhana au mkatie Tiketi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…