Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

Je ni sahihi wewe muajiriwa mpya/mtumishi wa serikali/secta binafsi kudai/kuomba malipo ya gharama za uhamaji wa kituo cha kazi, au kuomba upewe mahala pa kufikia/kuishi baada ya kupangwa kituo cha kazi mbali na eneo lako?.

Kama mnafanya hayo je kwanini hamuwathamini hao watumishi wenu majumbani wanaowatunzia nyumba zenu na afya zenu kwa vyakula wanavyowapikia?.

Ukiacha ubinafsi na roho mbaya utagundua kuwa hawa wadada hamuwatendei mema kabisa yaani salary ndogo sana, hamna mkopo, hamna malupulupu+offer, hamna lolote zaidi ya matusi, mateso, chuki, na hujuma mnazowatendea.

Afrika hii laana ya ubinafs ya kutesa wenzetu itatumaliza
 
Hii stori imekaa kama gazeti la sani
 
Uko sahihi, ila nahisi kama atatumia nauli yake au atakopa itakuwa ni ishara ya uhitaji wa kazi.
Inategemeana kama yeye ndio kaomba kazi inabidi atafute nauli ila kwa sisi wenye nyota ya kuitwa kazini wakati hatujaomba hata kazi aisee bosi lazima atoe nauli nahela ya msosi njiani kama ni mbali atoe na hela ya gesti pamoja na hela ya dharula yaani ikitokea ukapata kadem njiani
 
Mwandishi wa gazeti la sani alikuwa anaitwa nani?
Kitambooo saana

Mwanangu Tumilakuili tapeli kabisa
Mwanangu Rodilofa majibu ya kunya
Mwanangu kipepe muwindaji mkongwe
Mwanangu madenge miyeyusho mingi
Mwanangu sokomoko
Mwanangu pimbi Mzee wakutomaliza vizuri kwa mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…