Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #21
Nimuite nani kwenye title hapo mkuu? Au Mama wa mchumba wanguKama hujaoa anakuaje mama mkwe wako?
Rekebisha hapo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuite nani kwenye title hapo mkuu? Au Mama wa mchumba wanguKama hujaoa anakuaje mama mkwe wako?
Rekebisha hapo kwanza.
aah yule mama na binti yake fundi cherehani watu wanajipigia tuKuna mama mkwe anaishi Goba hua nachapa binti yake aisee, mpaka hua akikwama ananiomba nimtumie elfu 5 ya kwendea kwa mwamposa siku za J2. Hua nawaza nikioa je?
Ina maana situation ingekuwa nzuri usingekuja kuuliza?Situation nilionayo inabana, nimekopa nasoma naongeza elimu, sipo stable kwenye masula ya pesa
Kuwa makini sana na huyo mchumba wako na mama yake, watakugeuza wewe ATM machine muda si mrefu. Halafu mama mkwe gani anathubutu kuomba hela kwa boyfriend wa binti yake??? Hana hata haya! Mama mkwe wa mchongo huyo.Hii ndio ninayoijua Mimi, lakini hii ya kwangu ni tofauti sana, kila nikimwambia huyo binti kwamba mama ake atanijua official nikienda kujitambulisha but yeye analazimisha sana.
Usimpe hata mia mbovu kwakuwa kaomba, lakini moyo wako na nafsi ukiridhia mpe hata milioni kama unayo. Usientertain force impression itakupa tabu sana mbeleni hukoSasa nikioa si itakua too much? Au haijalishi.
Umemaliza kila kituNitasema generally..
Mimi.
Kabla sijamuoa, kibinaadamu, alishika mimba, ilifanyika busara ya ujumbe wa kwetu kwenda kwao. Mimi sikwenda. Siku yakwanza kukutana na mama mkwe ilikua ni hospitali binti alipojifungua, tulipata chumba private kwenye ile wodi ya wazazi. Mama mkwe hakuweza kukaa mimi nikiwepo ndani ya kile chumba. Ilikua nikiingia mimi yeye anatoka. Nilipogundua nikawa nampa muda yeye kwasababu alikua anamsaidia mzazi na kichanga. Nikienda nyumbani kuwaona, nikishamsalimia ataondoka sebuleni, hapo ni wataniagia.
Hapo nimejaribu kukupa picha ya mama mkwe na mume wa binti wanavyokua, ukiacha umjini mjini.
Mama mkwe:
Sijui kwa mila nyingne, ila ukiuacha huu umjini mjini, mama mkwe na mume wa binti hawana ukaribu wa kiasi hicho. Ni desturi kwa mume kutoa chochote kwa mama mkwe ila hii ya kuomba inakua na ukakasi flani
Wewe:
Hapa tusameheane kidogo.
Wewe bado ni mtoto (kifikra) usie na ukomavu. Sijui una umri gani lakini una immaturity ya hali ya juu. Hivi hatakama kakosea, hili ni lakuja kulianika hapa..!!? Labda ni mama wakileo mwenye hali flani ambae uwezo wa kujiongeza na kujizui upo kwa kipimo flani kiasi cha kuomba hela kwa mkwe, tena mtarajiwa. Lakini wewe mkwe mwenyewe, umeombwa trillion ngapi mpaka uombe ushauri hapa. Ni kweli akili yako haitoshi kupembua hili..!!?
Kwani ungemwambia "mama sina ila nipe siku mbili tatu nikuaangalizie" ingekuaje? Au ungempa halafu ukae nae kwa akili ingekuaje? Au ungesema kwa busara kua huna, halafu ukaendelea na maisha kimya kimya ingekuaje? Tujifunze kukomaa.
Nilisema unisamehe na hapa nasema uniwie radhi.
Ukijichangany ukamuoa huyo bint hapo utakuja kunambiaNa nilijua hatonitafuta tena maana miaka ya nyuma nililikua sina kazi alifanya mistake mbaya sana kwa binti yake...
Ukiombwa hela unauliza tena kama utoe au usitoe?Toa kwa hiyari yako.Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo.
Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi.
Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya sana ambayo kila siku inanipa sonona nikifikiria.
Imepita miaka sasa sijawahi kuwasiliana nae, japo dogo siku zote ana push agenda ya Mimi kuwasiliana na mama yake huwa namkatalia.
Leo kanisumbua nimtafute mama yake, nikaamua kumpigia lakini kaniomba hela kidogo amepata shida fulani.
Mimi kwangu sioni ubaya kuombwa hela, kwenye familia yangu hakuna mtu anaeweza kuniomba hela na hawajawai (wanao uwezo kunizidi)..
Swali linakuja je ni sawa kutoa hela kwa mama mkwe ambae hujamuoa binti yake?..
Kwa wazoefu tu
Huyu ninaemuita mchumba ni rafiki wa utotoni tokea secondary na mpaka sasa hakuna mwingine zaidi yake, kumuoa nilishamwambia mpaka nimalize kusoma na yeye analijua hilo.Sema vijana tumeendekeza ngono na kusahau kuhusu maadili.
Zamani mchumba ni yule anayetAmbulika na ndugu wa pande zote mbili. Na uçhumba haukutakiwa kuzidi miezi miwili hadi mitatu.
Leò kijana unamuita mama wa hawara ako (umesema kwenu hajulikani) mama mkwe?
NimekuelewaMkuu nahisi ukija kupata mchumba pwani ya kusini utaipata fresh...ukichumbia NI Kama umechumbia ukoo mzima sio mama TU mpk mashemeji utasaidia..ila ndo nature ya hela ukiwa nazo huli peke yako so we sometimes toa TU Jinsi unavotoa unazidi kubarikiwa na kupata...au Kama vp una ka asili Cha uchoyo na ubahili Basi anzisha project kiasi kwamba ukipata TU pesa ikimbize huko kwenye project ukiombwa unajibu huna..simple
Ni kweli, ndio maana nimekuja kuuliza kwa nyie mliokomaa kiakili.Hujakomaa bado kiakili na hujui maana ya kuwa mme
Hapo nimekuelewaNitasema generally..